Kama Hukutumia Hii Kitu Wewe sio mjanja bado!

Kama Hukutumia Hii Kitu Wewe sio mjanja bado!

Usukumani kulikuwa na sabuni nyekundu kutoka Kenya, bila shaka zilikuwa zinaitwa Kwanga
Iliitwa kanga bwana. siyo kwanga. yote mmesema ila mmesahau picha lazima zikapigwe studio ukiwa umeshika kiuno nyuma pazia jekundu au la bluu. na ua pembeni yako. lol nyimbo zetu zilikuwa za akina kilimanjaro jazz band na ottu jazz band.
 
Yalikuwa maisha ya uhalisia, kitu YU ilikuwa mwisho wake!
 
Jaman hapo mmesahau kitu,ukiwa na hcho kitu sandukuni lazima kidonge cha mende "hcho kidonge kilikuwa na harufu ya pekee" wakubwa ndio walikuwa wanakuwa navyo pamoja na hyo kitu YU,Nimekumbuka nilijipakaga ya mpangaji wetu mmoja naenda ndan mzazi akanibana umepata wap hyo?kumwambia akasema haujui hcho kitu bei?nikapewa kichapo na kuambiwa ni ya wakubwa tu
 
390903_323129897714527_100000525597189_1233296_720643457_n.jpg

Haahaahaa🙂 Hii ilikuwa sambamba na SHANTI petroleum! Ukijipaka unameremeta kama umepiga varnish !

Kuondoa kikwapa akina dada walikuwa wanajipaka Imperial Leather Soap-kama HAND DEODORANT🙂
 
Iliitwa kanga bwana. siyo kwanga. yote mmesema ila mmesahau picha lazima zikapigwe studio ukiwa umeshika kiuno nyuma pazia jekundu au la bluu. na ua pembeni yako. lol nyimbo zetu zilikuwa za akina kilimanjaro jazz band na ottu jazz band.

Hiyo sabuni kanda ya Ziwa zilijulikana kama MAGWANJI!

Mengine yalikuwa yanachakachuliwa kwa kutengenzwa kutumia mafuta machafu ya viwanda vya pamba kufikia kiasi cha kukutana na vipande vya chupa katika kipande cha GWANJI
 
Daaah! mkuu wewe ni noma. Yaani wakati huo utakuta kidume kimejiweka utuli wa YU halafu chupi kavaa V.I.P lo!! sasa hapo bahati mbaya V.I.P ikatike kwa chini, lazime uikamatie kifuani.

Haahaaahaaa🙂 VIP nomaaa! Ilimkatikia schoolmate wetu katika mashindano ya riadha; VIP iliishia kifuani kama SIDIRIA; hali ya huuko chini wakati anamalizia mbio JUST USE YOUR IMAGINATION
 
Iliitwa kanga bwana. siyo kwanga. yote mmesema ila mmesahau picha lazima zikapigwe studio ukiwa umeshika kiuno nyuma pazia jekundu au la bluu. na ua pembeni yako. lol nyimbo zetu zilikuwa za akina kilimanjaro jazz band na ottu jazz band.
Na msondo!
 
Umenikumbusha bendi za enzi zetu: Western Jazz (Saboso), Nuta, Kilwa, Dar Jazz (Majini wa Bahari), Tabora Jazz (Segere Matata) na nyingine. Enzi zile unasikiliza muziki kutoka Morogoro Jazz (Mbaraka Mwinshehe Mwaruka) na ule wa Juma Kilaza - hupati ukakasi wa masikio hata kama uko na mkweo. Lakini siku hizi mh!
 
kuna mafuta yalikuwa yanaitwa shanti pia; ilikuwa ukijipaka ukipita sehemu yenye nyuki wanakukimbiza
 
unamkumbuka giadness wakesho,,,,ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie ucheze,,,,,,,pika, kwa kimbo, pika kwa kimbo,,,,,,ha,ha,haaaaaa,:spy:
 
Back
Top Bottom