Kumbe wewe pia wa zamani!Iliitwa kanga bwana. siyo kwanga. yote mmesema ila mmesahau picha lazima zikapigwe studio ukiwa umeshika kiuno nyuma pazia jekundu au la bluu. na ua pembeni yako. lol nyimbo zetu zilikuwa za akina kilimanjaro jazz band na ottu jazz band.