Nishaifanya hiiHii cha mtoto, sisi tulikuwa tunachukua tairi la lori au trekta unaingia hapo katikati unajikunja then wenzio wanakusukuma! Siku ingine wanakusukuma wanapoteza muelekeo wanakuacha upambane na hali yako!
View attachment 1101131
Kina mama bana....kwa hiyo unapiga plet ugali maharage mchana...ukimaliza hapo hapo unapiga wali nyama cha usiku na lazima umalize.....ha haaDah enzi hizo hadi msosi unapotezea kisa michezo.
Ukirudi home mama ananongwa balaa.
Mama yangu ilikuwa ukimiss lunch anakuwekea na share yako ya jion.
Salama yako ule chakula chote, ukibakiza shughuli unayo. Sasa uwe ulikula kwa watu mchana...hakika hata ujitahidi vipi huwezi maliza
RIP mummy. Amenisaidia sana kunilea ktk maadali mema
Ndio utoto wenyewe, tumekuwa wakubwa, tumeacha!Ulikua ujinga..
Nakumbuka mnaenda kwenye majani wavulana na wasichana mnaanza kuonyeshana vikojeleo, na kuchekana eti ona vifupi wengine ona virefu.. mnafunika na mnaendelea kucheza ...
Huwa nikikumbuka mama zetu walivyo tupigania mithili ya mpira wa kona, huwa nakubali wanastahili heshima na kula matunda ya watoro wao.Kina mama bana....kwa hiyo unapiga plet ugali maharage mchana...ukimaliza hapo hapo unapiga wali nyama cha usiku na lazima umalize.....ha haa
mmoja kiherehere tulimuelekeza bwawani akapambane na kimbelembele chakeHii cha mtoto, sisi tulikuwa tunachukua tairi la lori au trekta unaingia hapo katikati unajikunja then wenzio wanakusukuma! Siku ingine wanakusukuma wanapoteza muelekeo wanakuacha upambane na hali yako!
View attachment 1101131
Mimi nilishawahi kunasa juu ya mti kwenye pachupachu nikashindwa kutoka mpka akapanda mzee 1 hivi kuja kuninasua.Utotoni kuna ujinga mwingi sana.. na mambo mengi tuliyafanya ni hatarishi sana sijui tumefikaje ukubwani bado wazima.
sitasahau kuna siku nasukuma tairi la trekta likanishinda bhna mbaya zaidi ilikua kwenye mteremko, kuna mama mmoja alikua anapika vitumbua pembeni ya barabara lilimbutua yule mama akavunjika mkono aisee. Sitasahau ule msalaHii cha mtoto, sisi tulikuwa tunachukua tairi la lori au trekta unaingia hapo katikati unajikunja then wenzio wanakusukuma! Siku ingine wanakusukuma wanapoteza muelekeo wanakuacha upambane na hali yako!
View attachment 1101131
Dadeki nshawah dumbukia mton kisa huo mchezoHii cha mtoto, sisi tulikuwa tunachukua tairi la lori au trekta unaingia hapo katikati unajikunja then wenzio wanakusukuma! Siku ingine wanakusukuma wanapoteza muelekeo wanakuacha upambane na hali yako!
View attachment 1101131
We acha tu mkuu, yaani kipindi hicho kama hauko faster enough, kitendo cha kumbwela kidogo tu ushakula jiwe la maana. Yaani ilikua ni Policy kwamba tukitoka kuwinda kama hatujapata ndege/njiwa basi tunaanza kuwindana.Duuu, nyie mlikuwa hatari.
Nimecheka peke yangu kwa sauti hadi majirani watakuwa wamesikia
poleHatari sana asee, kuna ile ya kuwinda ndege na manati. Sasa sisi tukawa tukimaliza kuwinda ndege tunaanza kujificha ile kama kombolela ukitoa tu kichwa au mwili unapewa jiwe la maana la manati. Sitasahau siku Rafiki yangu aliponibutua manati ya jicho, nilikaa ndani mwezi mzima bila kuonana na mwanga na makofi juu ya bimkubwa.
halafu unaanza kulia wewesitasahau kuna siku nasukuma tairi la trekta likanishinda bhna mbaya zaidi ilikua kwenye mteremko, kuna mama mmoja alikua anapika vitumbua pembeni ya barabara lilimbutua yule mama akavunjika mkono aisee. Sitasahau ule msala
Yaani my mummy was something else.Kina mama bana....kwa hiyo unapiga plet ugali maharage mchana...ukimaliza hapo hapo unapiga wali nyama cha usiku na lazima umalize.....ha haa
Haha..sana...Watoto wa siku hizo naona kama wako bizy sana na maisha...kama watu wazima yaani...Nahisi na mitandao hii na simu..Wee unakuta kitoto kidogo cha miaka miwili tayari kinalilia kishinde na simu...hatar sanaHivi ulikuwa ujinga? Tulifurahia maisha!
Ulikua ujinga..
Nakumbuka mnaenda kwenye majani wavulana na wasichana mnaanza kuonyeshana vikojeleo, na kuchekana eti ona vifupi wengine ona virefu.. mnafunika na mnaendelea kucheza ...
apo hakuna steji niliyoruka ata moja.. asee kama kuna mtu hakupta uku alikosa burudani...enzi inzo wadada wakubwa wakisema mambo..nasema ni demu wangu uyo..yani atakaesema mambo najua kanielewaa,,kumbe wala ni salamu tu....au ukute umefanya tukio afu ni mchana,,basi unacheza weee,ikfka jioni unaigopa kurudi home..kwakua hakuna pa kwenda,,uunajikaza..ukifka unaanza kuosha vyombo,,unafagia uwanja,,,,unajipendekeza ili bi mkubwa asimwambie mzee ujinga uloufanyaa..basi mama kwa upendo wake anacheka na hakusemeii...dah wakina mama aseee waachwe tuu.. they are best of the bestest