Kama hujawahi kuona hizi muvi basi zitafute

Hizi movie za zamani nikiziangalia Leo naona kama ni Vikatuni yani.. Sipati vibe kabisaa....
 
Hii movie sijawahi kuielewa labda niiangalie tena
Ni movie moja nzuri sana na ni kisa cha kweli kilitokea wakati wa vita ya USA na Vietnam,battalion iligawanyika Stuff Sergeant Barnes na Sergeant Elias kila mmoja alikuwa na askari wake upande mmoja ukitaka smooth war kupigana vita vya akili upande mwengine ukitaka hard war kupigana vita vya kutisha na kuogofya.

Kilichotokea Stuff Sergeant Barnes aliyekuwa akitaka vita ngumu alimvizia Sergeant Elias akam-shoot makusudi maana aliona kama ndiye anayefelisha vita pia walikuwa wamegombana baada ya crew ya Barnes kuvamia kijiji na kuuwa hovyo watu so akatakiwa akasimame court martial shahidi mkuu akiwa Elias.

Iangalie tena mkuu.
 
Daah umenikumbusha mbali sana,,Umezisahau,Koyla,Mohra,Zaalim,Teri Mihelibania,Soldier boyz,Strike Commando,Robowar,Shaolin soccer,Shaolin Temple,Amrican Samurai,Game of death,Eastetn Condors,Black ship,A.W.O.L,nk.
 
nimekukumbusha 2012 kurudi nyuma hafu unasema mbali......
 
  1. commando vigogo
  2. arnold jicho moja (the terminator)
  3. jet li ustadhi (the body guard from beijing)
  4. commando kibukta asiyekoga (the deadly pray)
  5. meno ya kaa ( predator)
  6. american ninja
  7. the mask
  8. kick boxer
  9. universal soldier
  10. robocop
  11. drive
  12. missing in action
  13. strike commando
  14. above the law
  15. cyborg
  16. lucky kids
  17. double impact
  18. solo
  19. tai chi
  20. fist of legend (jet li na mjapani mapanki)

dah zile shilingi 20 zangu nilizokuwa nalipia laiti kama ningelizichanga ningelikuwa namiliki kiwanda cha kufyatua movies muda huu (ndoto za kilevi)
 
Vipi mkuu happy to see yoou... hopefull you good!

kumbe nawe mdauu wa haya mavitu nikajua KBC2 pekee
 
me too brother,
hollywoood nilikuwa mshabiki mkubwa sana miaka ya mwanzoni ya utoto wangu, kwa miaka sita hii iliopita nimehamia korea na mpaka muda huu kung'atuka siwezi.
nina miaka takribani sita sijaangalia filam, series wala kufuatilia maisha ya hollywood celebrities.
nina miaka takribani sita sijafuatilia wala kusikiliza nyimbo mpya kwa dhamira za waimbaji wa kimarekani ukiondoa zile za miaka ya zamani zilizoimbwa na waimbaji kama vile mariah carey, celine dion, boyz 2 men e.t.c.

huyo rambo simjui hata yupo hali gani muda huu.
 
sijui nikupe pole au hongera.. but kila mtu na upendeleo wake.. nami napenda hizi mambo ila sitaki kuangalia series kwa sasa maana najua nitanogewa hafu nitakula muda wa kufanya mengine.
Try mkuu uwe unaangalia mara mojamoja hollywood...!

hata mm hua nasikiliza nyimbo za zamani tu kiukweli..
 
pole inanifaa kupokea brother bila ya pingamizi yoyote.
nafikiria kufanya hivyo siku za karibuni, nimekuwa mzito wa kutafuta torrent software
 
daaah ila ww si mtaalamu wa mambo ya software.
kila jambo linahitaji dhamira ya dhati pindi unapotaka kulitekeleza, so kiupande wangu nakosa ile dhamira ya kufanya maamuzi ya kurudi hollywood.
ni maamuzi tu brother haijalishi nimeshakuwa muathirika wa hallyu.
lakini itanichukua muda mrefu kupata matibabu ya ugonjwa wa hallyu.
nakosa hamu hata ya kutembelea tovuti tofauti kwa dhumuni la kutafuta link zitakazoniwezesha kucheki ulimwengu wa hollywood n.k
 
ok.. broh
Endelea na unachofurahia nachoo.. yote ni kutafuta furaha ya mioyo yetu
 
Back
Top Bottom