Kama hujawahi kuona hizi muvi basi zitafute

Mkuu Da'Vinci hizo movies zilikula sana vijisenti vyangu enzi ya utotoni maana tulikua tunazicheki kwenye mabanda ya video tena zikiwa zimetafsiriwa kwa kiswahili na bwana Lufufu Mukandala
Kingilio ilikua tunalipia Tsh.50/= kwa kila movie
wote tumepita huko mkuu..Nishanyanganywa shati kisa kuchungulia ukumbini..ilikua Spiderman
 
Ujue ukiangalia vizuri kipindi hiki wachina walikua wameteka solo hata Hollywood inaonekana walikua interested na mambo ya kichina.
 
asante kwa kumbukumbu Mkuu, binafsi nimeona karibu zote miongoni mwa hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…