Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Tatizo hawashauriki
Hizi ni changamoto za biashara japokuwa ni ngumu kutoa maamuzi kwa kutumia flight moja.Je ni kila siku hakuna wateja au ni siku hiyo tuu?Na jee ilivyokua inarudi Entebe Kilimanjaro, hali ilikua hivyo hivyo?
Niliwahi kushuhudia Egypt Air Airbus 320 from Cairo to DSM ikiwa na abiria 20.
So hizi ni changamoto na ninaamini wahusika wakiona route hailipi wataifuta kama KQ walivyositisha NBO to New York.