kepler telescope
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 904
- 599
By the way ridhiwan ndo nan, watu tushamsahau kitaaambo
Ila ukweli watu wa Arusha/Moshi n wapigaji wakubwa siku wakiupata urais! Nchi itauzwa fasta, ila akitokea muadilifu wa vitendo sina shaka ataukwaa upresidaa
Umenikumbusha Basil Pesambili Mramba na Daniel Yona. Gray Mgonja alichomoka.Kweli wapigaji sana hawa jamaa.