Kama hii ni kweli basi sisi ni wajinga, iko siku litatugharimu

Kama hii ni kweli basi sisi ni wajinga, iko siku litatugharimu

ukiwa msoga kaskazini ni chumbAgeni, hai...
 
Usihofu, ni maneno ya wanasiasa tu hayo. Mbona hao wa kaskazini huwaita wanaoichagua ccm wajinga, wasiojitambua? Ukweli ni kwamba akitokea mtu kaskazini muadilifu, mchapa kazi, asiye na ndimi mbili, asiye mdini, asiye endekeza ukabila au ukanda, asiye tumia fedha kutafuta uongozi, anayeweza kukemea rushwa na ufisadi hadharani, asiye na rubani anayebadili gia angani, mwenye afya njema, msomi, kwanini asichaguliwe? Bado hajatokea. Upo?
Umeeleza kila kitu mkuu. Watu wa kanda ya ziwa wametukanwa sana na kuitwa kila aina ya majina. Ukweli hata hivyo ni kama ulivyosema. Bado hajatokea mgombea wa kueleweka kutoka huko Uchagani (aka Kaskazini). Waanze sasa kuandaa mgombea na wamwingize kwenye long term strategy ya chama. Wakipe chama mwonekano wa kitaifa na kukiondolea hii taswira ya ukanda na udini. Wakipunguza majivuno na kuacha kujiona kuwa wao ndiyo alpha na omega mbona urais uko wazi tu?

Sasa watakaa kimya na kubakiza kutoa matamko na kuitisha maandamano halafu uchaguzi ukikaribia haooo tena wanaanza kuokota makapi na kuwafukuza wenyeji. Siasa ni strategy!
 
Sasa wana kaskazin tuanze kujipanga... Kama una kampuni makao makuu weka kaskazin ... Kodi zote ziende kaskazin ... Tusisahau kujenga hospital na michango yote tuwe tuna toa mwezi wa kuminambili tukiwa kaskazin.. Shule zetu tupokee kaskazin , maana kuna kipindi tutafukuzwa huku kwa watu tulikowekeza wajameni
 
Back
Top Bottom