Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,275
Habari wana Jf,
Kwa mujibu wa kazi yangu inanibidi nitafute mke au housegirl maana nimechoka kufanya kazi ndogondogo za nyumbani. Hii ni kutokana na kazi niliyonayo ya kitaifa, je kwa mtazamo wa kawaida, naruhusiwa kuwa na housegirl nyumbani kwangu ikiwa nipo single sina mke?