Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,275
- Thread starter
- #21
Ivi watoto wa siku izi ubongo wenu una akili kiasi gn!? Hata ilo unauliza kweli!?
Ndo akili hizi hizi huja kutangaza nia.
Mkuu ulitaka niulize nn?
Ivi watoto wa siku izi ubongo wenu una akili kiasi gn!? Hata ilo unauliza kweli!?
Ndo akili hizi hizi huja kutangaza nia.
Maswali mengine yanachekesha sana
Anyway inafaa sana kaka Vila taadhali ni wewe kucontrol miemko yako ya kimwili maana waweza shawishika kulala name house girl
So take care mkuu
teh teh teh...mwana usalama
kwani we kaka mleta mada unaonaje?ebu jaribu kujishauri mwenyewe kwanza alafu tuambie umejishaurije
Posts count:1
Other:junior member
Forum: MMU - Lango la jiji au ubungo terminal na gari ya viazi
Hivi unaweza kuweka simba na swala kwenye zizi moja wawe salama?
Angalia usije muoa hg wako bila kupenda
mpaka hapo nakushauri tu usitafute housegirl wala mke.habari wana jf, kwa mujibu wa kazi yangu inanibidi nitafute mke au housegirl maana nimechoka kufanya kazi ndogondogo za nyumbani.Hii ni kutokana na kazi niliyonayo ya kitaifa, je kwa mtazamo wa kawaida,naruhusiwa kuwa na housegirl nyumbani kwangu ikiwa nipo single sina mke?
Hivi unaweza kuweka simba na swala kwenye zizi moja wawe salama?
Ndio maana taifa linadumaa kiuchumi...ikiwa mtu kama wewe umeajiriwa sehemu nyeti...