Huyo mhindi anatatizo kichwani au mgeni sana, dalili za kuzuia matumizi ya mifuko zilikuwepo miaka kadhaa iliyopita! Tangu enzi za mwandosya!Juzi kuna mhindi mmoja nilikutana nae amechanganyikiwa akaniambia wiki kama mbili zilizopita ameshusha mashine container 3 za kufyatua mifuko ya nailoni ndio kwaanza wachina wamemaliza kuzifunga..
Kwahio huyo Muhindi hakusikia kuwa kuna mpango wa kuzuia mifuko ya plastic? Mbona huo mpango ulikuwa kwenye pipeline muda mrefu.Juzi kuna mhindi mmoja nilikutana nae amechanganyikiwa akaniambia wiki kama mbili zilizopita ameshusha mashine container 3 za kufyatua mifuko ya nailoni ndio kwaanza wachina wamemaliza kuzifunga..
HahahahahahaUnatatua tatizo kwa kulikimbia? Botswana na korea kusin ni mbinguni?? Hii hali mbaya kiuchumi ina miaka miwili / mitatu vile na huenda ikaendelea kwa mda mrefu zaidi hivyo nakushauri uende botswana/ s.korea wiki hii hii.
Tena huu mpango ulikuwepo tangu kipindi cha JK.Kwahio huyo Muhindi hakusikia kuwa kuna mpango wa kuzuia mifuko ya plastic? Mbona huo mpango ulikuwa kwenye pipeline muda mrefu.
Kumbe?Mkuu south korea is the best. Asikuambie mtu. Mm pia nina mtazamo wa kusogea pande za hukk, soon after finishing masters. Jamaa wanahitaji sana watu wa kupiga kazi.. Ku earn 3000-6000 Usd ni kitu cha kawaida huko. Na possibility ya ku save ipo
Uliwahi kukaa huko kabla?Mkuu south korea is the best. Asikuambie mtu. Mm pia nina mtazamo wa kusogea pande za hukk, soon after finishing masters. Jamaa wanahitaji sana watu wa kupiga kazi.. Ku earn 3000-6000 Usd ni kitu cha kawaida huko. Na possibility ya ku save ipo
Tafuta wimbo "running away" wa bob marley utajifunza kitu kipya.Siamini katika kukimbia tatizo kwa kuamini kuwa ndo kutatua tatizo.
Zidisha mapambano kijana usikubali kushindwa ukiwa ungali na pumzi.
Nilipata trip ya 3 month hukoUliwahi kukaa huko kabla?
Naufahamu ila rudia kuusikiliza vizuri utaelewa kuwa alikuwa na maaana tofauti na ya mtoa mada.Tafuta wimbo "running away" wa bob marley utajifunza kitu kipya.
Siwezi kufanya makosa ya kujidanganya kusubili kudra za mwenyezi Mungu ili hali mambo ni dhahir hayawezi kutengemaa kwa miaka ya hivi karibuni.
Asante kwa kuniongezea trak nyingine kali from bob......Tafuta wimbo "running away" wa bob marley utajifunza kitu kipya.