Kama hali itaendelea hivi hadi December mwaka huu basi sitakuwa na namna yingine zaidi ya kwenda kupambana mbali na hapa Tz

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,707
10,163
Kwa hali hii nimejipa muda wa kuendeleza mapambano ndani ya hii nchi yangu ni mwisho December mwaka huu basi.. Baada ya hapo sitakuwa na namna zaidi ya kutafuta nafuu kwenye nchi nyingine.

Ni jambo lililo wazi kwa sasa bongo haisomeki si kwa wafanyakazi, wasomi hata wajasiliamali na ukizingatia muda unazidi kwenda.

Siwezi kufanya makosa ya kujidanganya kusubili kudra za mwenyezi Mungu ili hali mambo ni dhahir hayawezi kutengemaa kwa miaka ya hivi karibuni.

Mipango yangu ni kwenda Moja wapo ya nchi kati ya botswana au s.korea maana ndizo nchi ambazo nina access nazo kwa sasa na wenyeji huko.

Kwa anayefahamu zaidi kuhusu nchi hizo tafadhali share hapa uzoefu na unayoyajua hasa kuhusu hali ya maisha kwa ujumla huko.
 
Juzi kuna mhindi mmoja nilikutana nae amechanganyikiwa akaniambia wiki kama mbili zilizopita ameshusha mashine container 3 za kufyatua mifuko ya nailoni ndio kwaanza wachina wamemaliza kuzifunga..
Huyo mhindi anatatizo kichwani au mgeni sana, dalili za kuzuia matumizi ya mifuko zilikuwepo miaka kadhaa iliyopita! Tangu enzi za mwandosya!
 
Mkuu south korea is the best. Asikuambie mtu. Mm pia nina mtazamo wa kusogea pande za hukk, soon after finishing masters. Jamaa wanahitaji sana watu wa kupiga kazi.. Ku earn 3000-6000 Usd ni kitu cha kawaida huko. Na possibility ya ku save ipo
 
Unatatua tatizo kwa kulikimbia? Botswana na korea kusin ni mbinguni?? Hii hali mbaya kiuchumi ina miaka miwili / mitatu vile na huenda ikaendelea kwa mda mrefu zaidi hivyo nakushauri uende botswana/ s.korea wiki hii hii.
 
Juzi kuna mhindi mmoja nilikutana nae amechanganyikiwa akaniambia wiki kama mbili zilizopita ameshusha mashine container 3 za kufyatua mifuko ya nailoni ndio kwaanza wachina wamemaliza kuzifunga..
Kwahio huyo Muhindi hakusikia kuwa kuna mpango wa kuzuia mifuko ya plastic? Mbona huo mpango ulikuwa kwenye pipeline muda mrefu.
 
Unatatua tatizo kwa kulikimbia? Botswana na korea kusin ni mbinguni?? Hii hali mbaya kiuchumi ina miaka miwili / mitatu vile na huenda ikaendelea kwa mda mrefu zaidi hivyo nakushauri uende botswana/ s.korea wiki hii hii.
Hahahahahaha
 
Siamini katika kukimbia tatizo kwa kuamini kuwa ndo kutatua tatizo.
Zidisha mapambano kijana usikubali kushindwa ukiwa ungali na pumzi.
 
Mkuu south korea is the best. Asikuambie mtu. Mm pia nina mtazamo wa kusogea pande za hukk, soon after finishing masters. Jamaa wanahitaji sana watu wa kupiga kazi.. Ku earn 3000-6000 Usd ni kitu cha kawaida huko. Na possibility ya ku save ipo
Kumbe?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom