Kama hali itaendelea hivi hadi December mwaka huu basi sitakuwa na namna yingine zaidi ya kwenda kupambana mbali na hapa Tz

Mkuu south korea is the best. Asikuambie mtu. Mm pia nina mtazamo wa kusogea pande za hukk, soon after finishing masters. Jamaa wanahitaji sana watu wa kupiga kazi.. Ku earn 3000-6000 Usd ni kitu cha kawaida huko. Na possibility ya ku save ipo
Mkuu nitaku PM
 
Kwa hali hii nimejipa muda wa kuendeleza mapambano ndani ya hii nchi yangu ni mwisho December mwaka huu basi.. Baada ya hapo sitakuwa na namna zaidi ya kutafuta nafuu kwenye nchi nyingine.

Ni jambo lililo wazi kwa sasa bongo haisomeki si kwa wafanyakazi, wasomi hata wajasiliamali na ukizingatia muda unazidi kwenda.

Siwezi kufanya makosa ya kujidanganya kusubili kudra za mwenyezi Mungu ili hali mambo ni dhahir hayawezi kutengemaa kwa miaka ya hivi karibuni.

Mipango yangu ni kwenda Moja wapo ya nchi kati ya botswana au s.korea maana ndizo nchi ambazo nina access nazo kwa sasa na wenyeji huko.

Kwa anayefahamu zaidi kuhusu nchi hizo tafadhali share hapa uzoefu na unayoyajua hasa kuhusu hali ya maisha kwa ujumla huko.
MKUU,

YAANI TANGU UTOKE WIMBO WA "DUDU LA YUYU"
HELA IMEKUWA NGUMU SANA HAPA MJINI
AISEE!!!
 
Usitarajie kama wa Tanzania walio wengi watakutia moyo katika safari yako hii,kwan wa Tanzania ni waoga wa kutoka sehemu waliozo kulia na wengi pia wanatatizo linaitwa bongolala ....
Na hili ndio tatizo watu wana negative perspective sana, hii dunia ni yetu kama unapata channel ya kutoka nje ya nchi toka tu, mbali na kutafuta maisha una socialize na jamii nyingine, unajifunza mila na desturi za watu wengine. Wa Tz tumejawa uoga sana hadi tunakera hatuna hata uthubutu.
 
Nipitie mkuu twende wote nipo Ndola Zambia, hapa sio mbali sana na Botswana .
Kwa hali hii nimejipa muda wa kuendeleza mapambano ndani ya hii nchi yangu ni mwisho December mwaka huu basi.. Baada ya hapo sitakuwa na namna zaidi ya kutafuta nafuu kwenye nchi nyingine.

Ni jambo lililo wazi kwa sasa bongo haisomeki si kwa wafanyakazi, wasomi hata wajasiliamali na ukizingatia muda unazidi kwenda.

Siwezi kufanya makosa ya kujidanganya kusubili kudra za mwenyezi Mungu ili hali mambo ni dhahir hayawezi kutengemaa kwa miaka ya hivi karibuni.

Mipango yangu ni kwenda Moja wapo ya nchi kati ya botswana au s.korea maana ndizo nchi ambazo nina access nazo kwa sasa na wenyeji huko.

Kwa anayefahamu zaidi kuhusu nchi hizo tafadhali share hapa uzoefu na unayoyajua hasa kuhusu hali ya maisha kwa ujumla huko.
 
We endelea kukariri minyimbo ya watu wanaoimba ili mkono uende kinywani halafu wewe ridhika na umaskini.

Mwenzio mpambanaji anatafuta maisha popote.
Ubarikiwe mkuu!!

Duniani hatuna mji udumuo.
 
Back
Top Bottom