Kama hajatulia fanya hivi

Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
15
image001z.jpg
 
Daah sasa hiyo namba km ndo ya bibi yake.........mastriker si wata-do the needful tena kwa huyo mama?
 
hii kweli ni hatari na kama tukifikia huko basi ni hatari lakini si itakata pande zote hata kwa wamama siyo na libaba likiweka notice hiyo kwa public si itakuwa balaa
 
hivi jamani pateni picha jibaba ndio limetundika kitu kama hicho kwenye gazeti nadhani siku hiyo nitacheka sana
 
kama mapenzi yameisha yameisha tu hata upandike picha ulimwengu mzima utakuwa unaangaika tu
 
kama mapenzi yameisha yameisha tu hata upandike picha ulimwengu mzima utakuwa unaangaika tu

kweli kabisa FL1, nadhani hiyo ni kuchekesha umma tu,..in real life scenarios...there is not much you can do...unga ukishazidi maji!
 
kama mapenzi yameisha yameisha tu hata upandike picha ulimwengu mzima utakuwa unaangaika tu
FL
Ukiona hivyo..ujue hakuna mapenzi ni kukomoana tu...huyo mama kachoka na huyo bwana.

Hujasikia kuna watu "kutoa talaka" hawatoi na kukutaka hawakutaki.
Angekuwa anampenda asingemwaibisha kwa kumtoa kwenye gazeti hivyo..wanawake wanavyojua kuwalinda waume zao ni balaa..
 
Umejuaje? ungemalizia na wanawake wanaojali...kwa kweli am happy for that...najihisi nina ulinzi wa kufa mtu hapa nilipo...
 
Mmmmhh.... Labda anampenda sana na hataki kushare na mtu yeyote ila sasa nina wasiwasi kama huyo mama anaweza kutimiza lengo lake na kukaba hadi penat,
Kama hana habari kuna wabinti ambao wanataka wanaume waliooa tu, na ukimtongoza na kumwambia bado upo upo kwanza humpati ng'ooo...
Hataki kubanwa na vijana na anataka chapaa
Hapa mama anawatangazia bidhaa bila kujijua.
 
Kweli Kenya ina mambo!!!

Sina hakika kama hii ni serious au jokes, kwa sababu mme/mke sio mali yako kwa namna yoyote, yeye ni life partner; na huna haja ya kuweka stamps everywhere kuonyesha haya. Ukishaona hivi ujue cha kwanza huyo dada hajiamini, cha pili anamkomoa jamaa lakini cha tatu ana matatizo ya akili!!! Ni manic huyo dada halafu inampa kiu ya destruction...

Ikishafika hapo, hata romance inkuwa expired!!!

Pole Stanley wa Wanjiru!!
 
Huyu jamaa kabandika picha mwenyewe labda mgonjwa. Kama ni mwanamke kama anavyodai basi namshauri angetumia stail ingine aseme ni mgonjwa wa ngoma kila mtu angemwogopa
 
Hii kali ila kwa jinisi wanawake wa kibongo tulivyofulia wanaume hata ungesema ana HIV watamtest. Cha kushangaza ni pale mwanaume anamtongoza mwanamke anamwambia nina mke wangu bado demu anakubali sasa ukitangaza gazetini itasaidia kweli?

Tumuombe Mungu atunusuru.
 
Back
Top Bottom