Hii nondo ya form oneVp tena chief toa msaada
ukiwa ndani ya bus ukarusha sarafu juu huku basi likiwa speed sarafu hiyo itatua usawa uleule mikononi mwako au?ETI UZUNGUKE UWE ULAYA? HV WEWE UNA AKILI AU TOPE? DUNIA IKIZUNGUKA INAZUNGUKA NA KILA KITU, MBONA UKIZUNGUKA NA BODABODA HAUFIKI KWENYE BUS MPAKA USHUKE.. NA WALA DUNIA HAIZUNGUKI KWA SPEED YA GARI KAMA UNAVYOFKIRIA..
YOTE 9, KAMA ADA ULIITUMIA KUPGA CHABO, JARIBU UJINGA
Mh unamaanisha speed yake ni ndogo kuliko speed ya Gari au sijakusoma kama maana yako ni hiyo wewe utakuwa chenga na mbumbumbu kama muuliza swali inaelekea mnakula sana samaki wa mwanza ndo mana mna Akili ya usamaki usamakiETI UZUNGUKE UWE ULAYA? HV WEWE UNA AKILI AU TOPE? DUNIA IKIZUNGUKA INAZUNGUKA NA KILA KITU, MBONA UKIZUNGUKA NA BODABODA HAUFIKI KWENYE BUS MPAKA USHUKE.. NA WALA DUNIA HAIZUNGUKI KWA SPEED YA GARI KAMA UNAVYOFKIRIA..
YOTE 9, KAMA ADA ULIITUMIA KUPGA CHABO, JARIBU UJINGA
angalau. sasa jiwe hilo likipata utashi kama wa mwanadamu liamue kuruka kwann litue palepaleAccording to wanasayans
Dunia pamoja na vitu vilivyomo ndan yake tupo kwenye speed sawa na mzunguko wa dunia yapata speed ya 10000km kwa dakka moja ivo hiz movement tunazozifanya zipo katika speed ambayo unaweza ukaipuuzia(neglect)
Kwa mfano chukua jiwe zen weka kwenye kopo halaf hilo kopo lifunge kamba halafu anza kulizungusha utakuja kugundua kwamba jiwe ndani ya kopo litakaa katika sehem moja bila kuzunguka ovyo ..nwton first law of motio
Toa majibu sio lawama mkuuETI UZUNGUKE UWE ULAYA? HV WEWE UNA AKILI AU TOPE? DUNIA IKIZUNGUKA INAZUNGUKA NA KILA KITU, MBONA UKIZUNGUKA NA BODABODA HAUFIKI KWENYE BUS MPAKA USHUKE.. NA WALA DUNIA HAIZUNGUKI KWA SPEED YA GARI KAMA UNAVYOFKIRIA..
YOTE 9, KAMA ADA ULIITUMIA KUPGA CHABO, JARIBU UJINGA