GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,037
Taratibu naanza sasa Kumuelewa Spika.Umeona wapi uongozi huohuo umeseal deal wabunge waingie bungeni, then kesho wanawageuka ndio maana spika kamweleza nnauye kua haya mambo ni makubwa kuliko anavyofikiria
Nitashukuru, ila 'msinichukie' tu Wakuu.Tumekuelewa mkuu
Amani amani mkuu 🙏🙏🙏Nitashukuru, ila 'msinichukie' tu Wakuu.
Barida Mkuu wangu. Ninawakubali mno.Amani amani mkuu 🙏🙏🙏
Hata mimi sijawahi kuona duniani, ina maana hamuamini Katibu Mkuu wa Chadema? Haamini kama walikaa vikao? Ya nini kuomba viambatanisho vyoote hivyo wakati kinachotakiwa ni barua tu! Au na barua nyingine za kiofisi ni lazima kila kitu kiwe na viambatanisho kama ripoti?Ndugai arudi Mirembe. File lake lipo kule.
Hivi kuandika barua kwake ni lazima uweke attachments zote hizo?
Yeye kama speaker anaesimamia wabunge wa vyama vyote ndio mwenye kutakiwa kuwa na katiba za vyama vyote ili ikija barua aweze kupekua na kuona je hao walioandika barua wako sawa au la.
Suala la kusema CHADEMA waambatanishe mambo kibao kwenyw barua ni ujinga na haijawahi kutokea duniani.
Hiyo sio "report" ni barua. Mwambieni akifunze kutofautisha.
Ni uhayawahi wa mchana kweupe. Na wapumbavu wanaunga mkono hilo jambo bila kutumia akili.Hata mimi sijawahi kuona duniani, ina maana hamuamini Katibu Mkuu wa Chadema? Haamini kama walikaa vikao? Ya nini kuomba viambatanisho vyoote hivyo wakati kinachotakiwa ni barua tu! Au na barua nyingine za kiofisi ni lazima kila kitu kiwe na viambatanisho kama ripoti?
Huyu JOB hili pira kaachiwa mwenyewe maana nahodha wa mchezo sir god kamchukua. Polepole hana lake, Kakurwa ndio hajulikani yupo wapi. Huu mchezo wa hawa wabunge 19 ni aibu ya bunge. Wabunge wenyewe wamekiri kufukuzwa na wamekata rufaa sasa JOB anataka nini. Huyu mzee ni uchuro kabisa.Ndugai arudi Mirembe. File lake lipo kule.
Hivi kuandika barua kwake ni lazima uweke attachments zote hizo?
Yeye kama speaker anaesimamia wabunge wa vyama vyote ndio mwenye kutakiwa kuwa na katiba za vyama vyote ili ikija barua aweze kupekua na kuona je hao walioandika barua wako sawa au la.
Suala la kusema CHADEMA waambatanishe mambo kibao kwenyw barua ni ujinga na haijawahi kutokea duniani.
Hiyo sio "report" ni barua. Mwambieni akifunze kutofautisha.
Halafu mle ndani kuna wasomi wabunge wakati haya yakisemwa na JOB meza zikagongwa.Hata mimi sijawahi kuona duniani, ina maana hamuamini Katibu Mkuu wa Chadema? Haamini kama walikaa vikao? Ya nini kuomba viambatanisho vyoote hivyo wakati kinachotakiwa ni barua tu! Au na barua nyingine za kiofisi ni lazima kila kitu kiwe na viambatanisho kama ripoti?
You said it all..tatizo sio viongozi wa Cdm.
..tatizo ni kwamba wako baadhi ya watu wako juu ya sheria.
..sheria nchi hii ina-apply kwa baadhi, wakati wengine hawaguswi.
Mkuu wakikuelewa unitag!CHADEMA anzeni 'Kujitathmini' haraka.