Kanisa na BAKWATA walipoomba kukutana na Rais Samia walimshauri kitu gani mbona siyo TEC wala KKKT wenye uthubutu wa kukisema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Kanisa Katoliki na KKKT wameishia tu kusema waliomba kukutana na Rais Samia naye akawakubalia na wakakutana naye

Kanisa linasema walimpa Rais Samia Ushauri wao. Kanisa halisemi walimpa ushauri gani kana kwamba hiyo ni bonge la Siri

Mimi najiuliza mbona DP World na Bandari Mkataba Wao uko Hadharani sasa Kwanini Ushauri wa Viongozi wa Dini uwe SIRI?

Haya mambo ni Sawa na yale Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaliyoanza Sirini na yamefia Sirini

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😄
 
TEC Wameshaweka hadharani ushauri wao. Ya Walutheri muulize Askofu Shoo.
Sitegemei kuwa ushauri wa walutheri utakuwa tofauti na huo waraka wa TEC; Walikuwa pamoja walipokwenda kumuona Samia.

Kitu cha kushangaza Samia alipozungumza baada ya Askofu Shoo hakugusia hata chembe kuhusu mkataba wa Bandari, badala yake akatoa vitisho kuwa hakuna mtu mwenye misuli zaidi yake!!

Angekuwa ni hiyo misuli kweli si angerudisha hizo dollar alizohongwa na DpWorld na kufuta huo mkataba!! Msuli huo hana na ndio maana anaweweseka.
 
Kanisa Katoliki na KKKT wameishia tu kusema Waliomba kukutana na Rais Samia naye akawakubalia na wakakutana naye

Kanisa linasema walimpa Rais Samia Ushauri Wao

Kanisa halisemi walimpa Ushauri gani kana kwamba hiyo ni bonge la Siri

Mimi najiuliza mbona DP World na Bandari Mkataba Wao uko Hadharani sasa Kwanini Ushauri wa Viongozi wa Dini uwe SIRI?

Haya mambo ni Sawa na yale Maridhiano ya Chadema na CCM yaliyoanza Sirini na yamefia Sirini

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😄

View: https://youtu.be/2DkDqk8bMPQ
 
Sitegemei kuwa ushauri wa walutheri utakuwa tofauti na huo waraka wa TEC; walikuwa pamoja walipokwenda kumuona Samia.
Kitu cha kushangaza Samia alipozungumza baada ya Askofu Shoo hakugusia hata chembe kuhusu mkataba wa Bandari, badala yake akatoa vitisho kuwa hakuna mtu mwenye misuli zaidi yake!!
Angekuwa ni hiyo misuli kweli si angerudisha hizo dollar alizohongwa na DpWorld na kufuta huo mkataba!! Msuli huo hana na ndio maana anaweweseka.
Alichosema Samia pale kwenye misuli alikuwa anajisema yeye kuwa tuwe na Imani nae, yeye hana misuli ya kuuza nchi.
 
badala yake akatoa vitisho kuwa hakuna mtu mwenye misuli zaidi yake!!
Inasikitisha na kuhuzunisha kwa pamoja.
Anawezaje kusema hiyo kauli wakati kwanza; kuyumba kwa nchi ndiyo kama huku, kwani majibu yake hupatikana baadaye pale Serikali itakapojikuta imebaki na wapambe tu, huku mambo yakiwabyanakwama.

Pili, mwenye misuli tumeshamjua, ni yule aliyeweza kumletea na kumsainisha Mkataba wa kiwendawazimu na wa Kimangungo ambao unaigawa nchi kwenda kwa watu hao wanaoitaka.
Anataka nini kitokee hadi ajue kuwa kuna watu wana misuli kumliko?
 
Kanisa Katoliki na KKKT wameishia tu kusema Waliomba kukutana na Rais Samia naye akawakubalia na wakakutana naye

Kanisa linasema walimpa Rais Samia Ushauri Wao

Kanisa halisemi walimpa Ushauri gani kana kwamba hiyo ni bonge la Siri

Mimi najiuliza mbona DP World na Bandari Mkataba Wao uko Hadharani sasa Kwanini Ushauri wa Viongozi wa Dini uwe SIRI?

Haya mambo ni Sawa na yale Maridhiano ya Chadema na CCM yaliyoanza Sirini na yamefia Sirini

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😄
TEC wao wapo wazi wameonyesha walichoshauri maza hakusikia
 
Inasikitisha na kuhuzunisha kwa pamoja.
Anaqezaje kusema hiyo kauli wakati kwanza; kuyumba kwa nchi ndiyo kama huku, kwani majibu yake hupatikana baadaye pale serikali itakapojikuta imebaki na wapambe tu, huku mambo yakiwabyanakwama.

Pili, mwenye misuli tumeshamjua, ni yule aliyewwza kumletea na kumsainisha Mkataba wa kiwendawazi na wa Kimangungo ambao unaigawa nchi kwenda kwa watu hao wanaoitaka.
Anataka nini kitokee hadi ajue kuwa kuna watu wana misuli kumliko?
Maza hiki cheo ni kikubwa sana kwake basi tu ni mfumo mbovu unambeba na bahati
 
Kanisa Katoliki na KKKT wameishia tu kusema Waliomba kukutana na Rais Samia naye akawakubalia na wakakutana naye

Kanisa linasema walimpa Rais Samia Ushauri Wao

Kanisa halisemi walimpa Ushauri gani kana kwamba hiyo ni bonge la Siri

Mimi najiuliza mbona DP World na Bandari Mkataba Wao uko Hadharani sasa Kwanini Ushauri wa Viongozi wa Dini uwe SIRI?

Haya mambo ni Sawa na yale Maridhiano ya Chadema na CCM yaliyoanza Sirini na yamefia Sirini

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😄
TEC wanafiki
 
Na hapa ndio Shoo na KKKT walipochemka! Kama umeenda kutoa ushauri, haujafanyiwa kazi bado unakuja kuutangazia umma kwamba tulikutana na kutoa maoni na ushauri bila kutaja kilichopo, hapa alichemka sana!. Na hii inaonyesha wazi utofauti wa TEC na KKKT. TEC wamekaa kisomi sana na wako organised kuliko KKKT. Kauli pia ya jana ya kwamba anaunga mkono uwekezaji imekaa kisiasa na iko shallow sana na nina imani watu wa propaganda wataitumia vibaya. TEC hawakusema wanapinga uwekezaji ila waliidhinisha mapungufu yaliyopo ili yafanyiwe marekebisho
 
Alichosema Samia pale kwenye misuli alikuwa anajisema yeye kuwa tuwe na Imani nae, yeye hana misuli ya kuuza nchi.

Mbona hakusema kama aliyafanyia kazi mapendekezo aliyopewa na viongozi wa dini alipokutana nao? She seems to be confused and that is why she tries to find solace by visiting retired heads of the army!!
 
Yeye yuko kimya lkn yuko Bro anamjibia. Usitake kutafuta nani anajibu, sikiliza jibu. Majibu ya Mkataba wa bandari ni udini na siasa.
 
Hakuna udini hapo ni ufisadi tu kwenye huo Mkataba wa Bandari! Ingekuwa mambo ya udini basi Tulia Ackson mgalattia angepingana na Samia Suluhu Muislam, lakini kwavile ni mambo ya kifisadi ndio maana mgalatia na muislam wapo pamoja kutetea ulaji wao!! Ukisingizia mambo ya dini ni kutaka kuwaondoa watu kwenye reli ya hoja kuwa hawa wameuza Bandari zetu kwa waarabu!
 
Kanisa Katoliki na KKKT wameishia tu kusema waliomba kukutana na Rais Samia naye akawakubalia na wakakutana naye

Kanisa linasema walimpa Rais Samia Ushauri wao. Kanisa halisemi walimpa ushauri gani kana kwamba hiyo ni bonge la Siri

Mimi najiuliza mbona DP World na Bandari Mkataba Wao uko Hadharani sasa Kwanini Ushauri wa Viongozi wa Dini uwe SIRI?

Haya mambo ni Sawa na yale Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaliyoanza Sirini na yamefia Sirini

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😄
John Mpatizaji ukisema ukweli unafunguliwa kesi ya uhaini.
 
Kanisa Katoliki na KKKT wameishia tu kusema waliomba kukutana na Rais Samia naye akawakubalia na wakakutana naye

Kanisa linasema walimpa Rais Samia Ushauri wao. Kanisa halisemi walimpa ushauri gani kana kwamba hiyo ni bonge la Siri

Mimi najiuliza mbona DP World na Bandari Mkataba Wao uko Hadharani sasa Kwanini Ushauri wa Viongozi wa Dini uwe SIRI?

Haya mambo ni Sawa na yale Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaliyoanza Sirini na yamefia Sirini

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😄
Walimwambia aachane kabisa na mpango wa kuuza nchi baada ya kushupaza shingo ndo TEC wakaamua wamuanike hadharani, muda si mrefu hata KKKT watamuanika maana huyu bibi haaminiki hata kidogo
 
Ushauri waliompa ni kurekebisha vipengele tata ambavyo ni kichaa pekee anayeweza kuvikubali. Ushauri huo ni Ukomo wa mkataba, Uhuru wa nchi kiuchumi, mwekezaji apatikane kwa ushindani, n.k
Inavyoelekea walilishana yamini kwamba wasiseme!! Kuna kundi moja la dini hapo liliomba ushauri wao uwe siri maana wataonekana wamewasaliti wenzao!. Pia wao huwa hawakubaliki kwa kundi lingine la dini yao! Hutuhumiwa kwamba waliwekwa na serikali! Pia sherehe zao za kidini hutofautiana siku ya kuziadhimisha!
 
Kanisa Katoliki na KKKT wameishia tu kusema waliomba kukutana na Rais Samia naye akawakubalia na wakakutana naye

Kanisa linasema walimpa Rais Samia Ushauri wao. Kanisa halisemi walimpa ushauri gani kana kwamba hiyo ni bonge la Siri

Mimi najiuliza mbona DP World na Bandari Mkataba Wao uko Hadharani sasa Kwanini Ushauri wa Viongozi wa Dini uwe SIRI?

Haya mambo ni Sawa na yale Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaliyoanza Sirini na yamefia Sirini

Nawatakia Jumanne yenye baraka 😄
KWANI ULIWAULIZA WALISHAURI NINI WAKAKATAA KUKUAMBIA? AU UNAFIKIRI HAWAWEZI KUKUAMBIA? USISEME KI NADHARIA
 
Ushauri waliompa ni kurekebisha vipengele tata ambavyo ni kichaa pekee anayeweza kuvikubali. Ushauri huo ni Ukomo wa mkataba, Uhuru wa nchi kiuchumi, mwekezaji apatikane kwa ushindani, n.k
Hakuna atakayekuamini hadi wahusika wenyewe waweke hadharani ushauri wao walioutoa!! Japo inaelekea si ushauri "mtamu kwa serikali" ndio maana serikali huwa hata haiuzungumzii!!
 
Back
Top Bottom