Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

ARE YOU INSANE
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa Wenu wenu wana Lumumba hapo ndo Gullian amewasifia??? Unajua kiingereza vizuri wewe??? Hapo amesifu au amewakejeli???

Tuliwaambia nyie ni ma certified vilaza mnasema tunawatukana kumbe ndo ukweli 😀
hahahahahaaaaaa, wewe kiingereza unakielewa, vizuri mkuu
 
Asante Mungu uliyetutea na korona umetutetea na hila za wachonganishi wanayoiombea njaa nchi nchi yetu .Sabato ni njema sana hasa ya leo
 
Kwa Wenu wenu wana Lumumba hapo ndo Gullian amewasifia??? Unajua kiingereza vizuri wewe??? Hapo amesifu au amewakejeli???

Tuliwaambia nyie ni ma certified vilaza mnasema tunawatukana kumbe ndo ukweli 😀
Halafu huyo mmarekani hajui vizuri sheria ya uchaguzi ya Tanzania, yeye anaongelea mail ballot, wakati sisi hatuna hiyo kitu.
 
Bwashee mbna mnaweweseka sana???
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT-Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom