Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

Hizi propaganda za kipumbavu mnazofundishwa na poleole katika kipindi HIKI Cha wasomi nikuonesha ujinga wenu/wake!!! Leta source ya unuha uliyoundika!!
 
Hivi wewe Pimbi , yaani Marekani wapongeze wehu huu uliofanyika kwenye uchaguzi huu wa Tanzania ? Unaota ndoto za mchana hapo Lumumba .
 
Hivi wewe Pimbi , yaani Marekani wapongeze wehu huu uliofanyika kwenye uchaguzi huu wa Tanzania ? Unsota ndoto za mchana hapo Lumumba
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Uharo huu
 
Mkuu naomba weka hii video kama evidence. Chukua link hapo YouTube dumbukiza hapo
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Umelowa wewe,Marelani kaitulana Tanznia,kwani mfano aliotowa alimaanisha kuwa nchi yetu ni miongono mwa nchi ovyo ndio mana kalinganisha na uchaguzi wao kuwa ulikuwa ovyo.kwa vile sisi ni Afrika inastahiki lakini kwa vile wao ni Wstaarabu zaidi ni fedheha.
Kaongelea mawakala wa Repablikan kutolewa kuangalia mchakato w kupiga kura.
Sasa nikuulize wewe,
Mawkala wa Upinzani TZ hawakutolewa nje,na wengine kukamatwa.?

Huu ndo uchaguzi wa huruna haki unaosifiwa na Trump?

Ukumbuke Trump ni Raisi aliyepo madarakani hadi leo kama alivyokuwa Magu.

Na yeye ndio analalamika kuibiwa. Huoni kinyume hichona Afrika?

Tulichojifunza uchaguzi wa US ni kuwa tume iko in dependent na serikali au vyama.

Wakati TZ tume ni ya makada watupu wa CCM na inapokea amri za chama tawala.
Raisi aliyepomadarakani ndie anaisuka tume ya uchaguzi kwa maslahiya chama chake.
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Mlipokuwa mnaiba kura mlifikiria nini
Ama mnateseka sana
 
Kwani wakiendelea na msimamo wao itawasaidis nini ? Watanzania wa leo ni waelewa sana hawawezi kuwapa vibaraka wa mabeberu kuingia Ikulu w
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Marekani ngoma yao ngumu, wamepata dictator hataki kutoka Ikulu, kwahio ata wakiipongeza North Korea kwa demokrasia hatuwezi kushangaa.
 
Kumbe vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina mpango na nyinyi!?? Kwa hiyo kama mngeshinda mngeendeshaje nchi sasa? Ndiyo maana tumeshasema upinzani utachukua miaka 100 kuiondoa CCM madarakani kama ndiyo hivyo!
Hiyo ni ajira tuu yenye masharti yake. 1964 jeshi la KAR lilivunjwa na kuundwa JWTZ na kwa mikataba mipya
 
Back
Top Bottom