Hata angechaguliwa na 5% ya raia, hiyo haina shida yoyote, Rais atatawala kwa Power zote, ili mradi wale ambao hawakupiga walifanya hivyo kwa hiari yao, maana huwezi kumlazimisha mtu kwa polisi aende kituoni kupiga kura!Nimekuwa nikifatilia matokeo ya urais kwa makini,kuna mambo mengi yametokea,kama kualibu kura za dr slaa,wizi wa kura,mpaka ikafikia watu waliopiga kura hawkuvuka aslimia 30,ikiwa ina maan kuwa karibu 73% hawakupiga kura,swali je kama asilimia 73% ya watanzania hawakupiga kura,je kiongozi aliyechaguliwa ni wa kweli na anakubalika?
ukweli ni kwamba kura nyingi za haana zinaweza kuwa zimetupwa... kingine ni ile inflation ya 5M votes ambayo walikosa uchakachuaji, na pia watu waliopiga kura walikua wachache sanaHata angechaguliwa na 5% ya raia, hiyo haina shida yoyote, Rais atatawala kwa Power zote, ili mradi wale ambao hawakupiga walifanya hivyo kwa hiari yao, maana huwezi kumlazimisha mtu kwa polisi aende kituoni kupiga kura!
Shida inakuja kama kura zenyewe hizo30% zilikuwa za HAKI NA HURU?..hapo ndio panapogomba!
PJ credibility ya kuchaguliwa ni pamoja na idadi kwa asilimia ofcourse, kama karibu 70% hawakushiriki lazima u query, kuna vita? mfuriko? au nchi inatawaliwa kijeshi lazima uje na sababu zenye nguvu.Hata angechaguliwa na 5% ya raia, hiyo haina shida yoyote, Rais atatawala kwa Power zote, ili mradi wale ambao hawakupiga walifanya hivyo kwa hiari yao, maana huwezi kumlazimisha mtu kwa polisi aende kituoni kupiga kura!
Shida inakuja kama kura zenyewe hizo30% zilikuwa za HAKI NA HURU?..hapo ndio panapogomba!
Najua CCM walitegemea uchakachuaji kuwa ule wa kizamani wa kuongeza kura vituoni lakini huo ukashindikana watu walikuwa makini kama walifanikiwa ni kwa idadi ambayo hawakutegemea, kilichobaki ni kuitumia NEC kubadili figure kwa nguvu kitu ambcho wizi huo ni rahisi kuonekana zaidi ya ule wa kuongeza kura vituoni.ukweli ni kwamba kura nyingi za haana zinaweza kuwa zimetupwa... kingine ni ile inflation ya 5M votes ambayo walikosa uchakachuaji, na pia watu waliopiga kura walikua wachache sana
mkuu, sikuwahi kudhani ntajiunga na chama cha siasa... lakini kwa mwendo huu... politics is too serious to be left to politicians aloneTulikuwa tukihubiriwa hivi:
Jumla ya wapiga kura kwenye Daftari ni 19 000 000
Kama 27% ndio waliopiga, basi hiyo ni = 5 130 000
Kinana na Makamba wanajitapa: "Tuna mtaji wa wanachama 4 000 000 nchi nzima."
Kwa hiyo ndiyo kusema: Watu 1 130 000 pekee ndiyo ambao si wana - CCM ambao wameshiriki uchaguzi mwaka huu. Na hawa wanaweza kuwa wanachama wa vyama fulani ama wasiwe na chama kama mimi.
Huu ni uzandiki.
Huu pia ni ushahidi mwingine kuwa siku za CCM kuitawala Tanzania zinahesabika.
Mkuu umeongea kitu kilichoenda shule, we can't let politicians alone to handle big issues like world economic.mkuu, sikuwahi kudhani ntajiunga na chama cha siasa... lakini kwa mwendo huu... politics is too serious to be left to politicians alone
mkuu, sikuwahi kudhani ntajiunga na chama cha siasa... Lakini kwa mwendo huu... Politics is too serious to be left to politicians alone
mkuu, sikuwahi kudhani ntajiunga na chama cha siasa... lakini kwa mwendo huu... politics is too serious to be left to politicians alone
Nimekuwa nikifatilia matokeo ya urais kwa makini,kuna mambo mengi yametokea,kama kuaribu kura za dr slaa,wizi wa kura,mpaka ikafikia watu waliopiga kura hawakuvuka aslimia 30,ikiwa ina maana kuwa karibu 73% hawakupiga kura,swali je kama asilimia 73% ya watanzania hawakupiga kura,je kiongozi aliyechaguliwa ni wa kweli na anakubalika?
Acha kufuata namba za gazeti la Mwananchi, zina makosa mengi sana.
Turnout ilikuwa ya chini lakini sio hiyo 27%.
Sasa kama wengi ni wa kiwango hicho na ndio wanaotuamulia mwelekeo wa taifa letu kweli tutaziweza challenge za mataifa yaliyoendelea kama si kuburuzwa na kufanywa nchi tegemezi ni nini. Maana ukienda kuomba misaada kwenye nchi zilizoendelea kabla ya kukupa kwanza wanakusoma wewe IQ yako ndipo wanakupa, ukitoka huko unatamba umepata misaada kumbe umemeza ndoana bila kujua na kujitoa humo huwa nikazi kweli kweli. Mfano wa karibu ni mikataba, wanakuja wanasaini mikataba feki hata wao wanajua mikataba ni feki lakini wanajua hatuna uwezo wa kugundua na hata tukigundua itakuwa too late inabidi tuvunje na kuwalipa mamilioni ya dola.Tena wengi wao ni Std 7/ Form 4 leavers.
Tumewashtukia.
Hata angechaguliwa na 5% ya raia, hiyo haina shida yoyote, Rais atatawala kwa Power zote, ili mradi wale ambao hawakupiga walifanya hivyo kwa hiari yao, maana huwezi kumlazimisha mtu kwa polisi aende kituoni kupiga kura!