Mubezi
Member
- Sep 27, 2010
- 71
- 23
Nimekuwa nikifatilia matokeo ya urais kwa makini,kuna mambo mengi yametokea,kama kuaribu kura za dr slaa,wizi wa kura,mpaka ikafikia watu waliopiga kura hawakuvuka aslimia 30,ikiwa ina maana kuwa karibu 73% hawakupiga kura,swali je kama asilimia 73% ya watanzania hawakupiga kura,je kiongozi aliyechaguliwa ni wa kweli na anakubalika?