Kama 27% ndio waliopiga kura, je kweli huyo rais anakubalika kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama 27% ndio waliopiga kura, je kweli huyo rais anakubalika kweli?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mubezi, Nov 4, 2010.

 1. Mubezi

  Mubezi Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimekuwa nikifatilia matokeo ya urais kwa makini,kuna mambo mengi yametokea,kama kuaribu kura za dr slaa,wizi wa kura,mpaka ikafikia watu waliopiga kura hawakuvuka aslimia 30,ikiwa ina maana kuwa karibu 73% hawakupiga kura,swali je kama asilimia 73% ya watanzania hawakupiga kura,je kiongozi aliyechaguliwa ni wa kweli na anakubalika?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hata angechaguliwa na 5% ya raia, hiyo haina shida yoyote, Rais atatawala kwa Power zote, ili mradi wale ambao hawakupiga walifanya hivyo kwa hiari yao, maana huwezi kumlazimisha mtu kwa polisi aende kituoni kupiga kura!
  Shida inakuja kama kura zenyewe hizo30% zilikuwa za HAKI NA HURU?..hapo ndio panapogomba!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ukweli ni kwamba kura nyingi za haana zinaweza kuwa zimetupwa... kingine ni ile inflation ya 5M votes ambayo walikosa uchakachuaji, na pia watu waliopiga kura walikua wachache sana
   
 4. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  PJ credibility ya kuchaguliwa ni pamoja na idadi kwa asilimia ofcourse, kama karibu 70% hawakushiriki lazima u query, kuna vita? mfuriko? au nchi inatawaliwa kijeshi lazima uje na sababu zenye nguvu.
   
 5. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Najua CCM walitegemea uchakachuaji kuwa ule wa kizamani wa kuongeza kura vituoni lakini huo ukashindikana watu walikuwa makini kama walifanikiwa ni kwa idadi ambayo hawakutegemea, kilichobaki ni kuitumia NEC kubadili figure kwa nguvu kitu ambcho wizi huo ni rahisi kuonekana zaidi ya ule wa kuongeza kura vituoni.
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tulikuwa tukihubiriwa hivi:

  Jumla ya wapiga kura kwenye Daftari ni 19 000 000

  Kama 27% ndio waliopiga, basi hiyo ni = 5 130 000

  Kinana na Makamba wanajitapa: "Tuna mtaji wa wanachama 4 000 000 nchi nzima."

  Kwa hiyo ndiyo kusema: Watu 1 130 000 pekee ndiyo ambao si wana - CCM ambao wameshiriki uchaguzi mwaka huu. Na hawa wanaweza kuwa wanachama wa vyama fulani ama wasiwe na chama kama mimi.

  Huu ni uzandiki.


  Huu pia ni ushahidi mwingine kuwa siku za CCM kuitawala Tanzania zinahesabika.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu, sikuwahi kudhani ntajiunga na chama cha siasa... lakini kwa mwendo huu... politics is too serious to be left to politicians alone
   
 8. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu umeongea kitu kilichoenda shule, we can't let politicians alone to handle big issues like world economic.
   
 9. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sure,even me together i join politca very soon next year and start runup for the next election for presdential candidate,bcoz what i see everyone is interesting in white house magogoni the area full of samaki stinking.....iam wrong..no..i remember verywell.
  Good acid we will meet at the platform and i will give you a hint once i touch you at the finger.
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tena wengi wao ni Std 7/ Form 4 leavers.

  Tumewashtukia.
   
 11. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Acha kufuata namba za gazeti la Mwananchi, zina makosa mengi sana.

  Turnout ilikuwa ya chini lakini sio hiyo 27%.
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Toa ya kwako.
   
 13. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa kama wengi ni wa kiwango hicho na ndio wanaotuamulia mwelekeo wa taifa letu kweli tutaziweza challenge za mataifa yaliyoendelea kama si kuburuzwa na kufanywa nchi tegemezi ni nini. Maana ukienda kuomba misaada kwenye nchi zilizoendelea kabla ya kukupa kwanza wanakusoma wewe IQ yako ndipo wanakupa, ukitoka huko unatamba umepata misaada kumbe umemeza ndoana bila kujua na kujitoa humo huwa nikazi kweli kweli. Mfano wa karibu ni mikataba, wanakuja wanasaini mikataba feki hata wao wanajua mikataba ni feki lakini wanajua hatuna uwezo wa kugundua na hata tukigundua itakuwa too late inabidi tuvunje na kuwalipa mamilioni ya dola.
   
 14. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,533
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Dataz please za turnout jimboni tuone jinsi wapiga kura wa Tanzania wasivyoona umuhimu wa zoezi la kupiga kura, mimi naanza na data huko Tabora za wasimamizi wa jimbo, wanaJF muongeze dataz hapa chini:
  1. Jimbo la Tabora kaskazini waliojiandikisha 87,281 waliojitokeza kupiga kura 20,600 yaani turnout ni 23.6% !
  2. Uyui Tabora waliojiandikisha 59,357 waliojitokeza kupiga kura 13,000 hivyo turnout ni 21.9% !
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Pj ni kweli hata akichaguliwa kwa 5%. Lakini kwa 27% kujitokeza, wengi walikwisha kata tamaa maana wanajua hata wakipiga NEC itaiba kura ili kumsaidia kikwete, na wanajua Urais ni cheo kikubwa ambacho kikwete hakiwezi, wakaona bora wasipoteze muda kwenda vituoni.
   
 16. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Mwaka huu nilivyoona wapinzani walikuwa wamewabana sana CCM na Tume na kwa maana hiyo hao 23% ndio kama 95% ya waliopiga kura na 5% hawakujitokeza. Na hiyo 73% ndio ile hewa!

  Pia ukumbuke kuna wakati wale wafanyakazi wa muda wa Tume waliokuwa wakifanya 'data entry and cleaning' walilalamikia malipo yao na nafikiri waliamua kuihadhibu NEC kwa kutokufanya entry na cleaning vizuri; sasa aibu ni yao! Safi sana!
   
 17. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Nafikiri vitambulisho vya kupigia kura viwe kwa kazi moja tu kupiga kura ili kupata idadi ya kweli yaani universal suffrage.
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Siku watakapo pga kura wa2 almost 50% ndipo ccm itakaposhdwa kwa kishndo
   
 19. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hawakuacha kupiga kura kwa hiari ila majina yao hayakuwepo wengine walionekana wamefariki wakati wengine vilelezo vya kadi za kupigia kura zilitofautiana na vielelezo vya orodha ya tume ya uchaguzi.Hitilafu zingine zilifanywa makusudi kama waraka aliouonyesha Dr.Slaa unavyoagiza.
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ngoja NEC watupe idadi ya waliopiga kura then tuanze hesabu za apa na pale
   
Loading...