fofre
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 805
- 1,307
Nimepata mkopo Jana, anayejua vinavyopatikana vyombo kama hivi tutafutane [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nimepata mkopo Jana, anayejua vinavyopatikana vyombo kama hivi tutafutane [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hii nguo kiboko plus na hii panga, aliyeinyoosha kwa pasi alikuwa na ajenda yake.
Au wanaofanana nae😀😀😀Kweli kabisa ukitaka tugombane na tukosane mazima nitishie huyo mdudu na wanaofanana nae.