Kali za 2018.. Mupya tupu

Kali za 2018.. Mupya tupu

Umenikumbusha mpiga picha wetu wa mtaa miaka ile alikuwa anaitwa Msafiri. Anatembea na kamera yake ukimuita anakupiga picha Tsh 200 moja akisafisha mkanda baada ya wiki anakuletea picha yako.

Mapozi yake akiwa akapiga picha yalikuwa saa ingine yanakufanya picha zote unazo piga utokee umecheka bila kujijua.
 
Miadi hii naipiga muhuri alfajiri hii na hiyo safari itakuwa mapema tuu ili kabla jua la adhuhuri halijaisha nirejee ngamani. Si unajua kigagula mwanga wa jua ukififia kuona usiku ni shida japo huwa napopo sana hehehehhee.

Utanipa directions kupitia kwa Kassim Majaliwa.
Pouwa
 
Hahahahahaa hizo hali bana saa ingine sio mapenzi ni utumwa hasa mmoja wapo akijua kudeka kupitiliza.

Pata picha hapo huyo dada angekuwa bonge kama nanihii hehehehehehehehee
 
Hahahahahhahaa looh, kweli dunia haina usawa, hapo kaka wa watu kajitutumua hadi mwisho mradi tuu apate papuchi na hapo kamuwin sana huyo mdada maana kwanza amefurahi kunyanyuliwa na hakuamini kama angenyanyuliwa kama vimodo. Iko tafsiri kuwa mkaka akiweza kukutesa basi amekupenda au mkaka anayeweza kukubeba hasa hadharani huyo amekupenda upeo japo baadhi yao wanafukuzia papuchi.

Hahahahahahhaaa mdada yuko happy over.....

Utasema Kasie ......
 
Jamaniii, wanawake ni maua na pambo kwa mwanaume hivo kulipamba ua kwa pesa baada ya kulimwagia maji ni sawa kabisa na wala hamkosei.

Msipotumwagia maji (uji) tutakufa na bila kutupa pesa hatunawiri halafu hata nyie hamtavutiwa nasi....
Kwahiyo wanaume ndo mashamba boy wa kumwagilia hayo maua?.
 
Kwahiyo wanaume ndo mashamba boy wa kumwagilia hayo maua?.

Neno shamba boy umelitamka mwenyewe. ... mie nnachojua anayemwagilia mmea hasa ambao unatoa matunda au maua huwa na mahaba na mmea huo na kila siku huhakikisha mmea wake umepata maji ya kutosha ili utoe maua mazuri yenye kuvutia au matunda matamu na akivuna maua huyapamba ndani na kumeletea manukato mazuri na tabasamu pana. Kwa upande wa matunda basi hukaa kivulini na kula tunda hilo huku akiburudika.

Mmea ukimea na kuwa mkubwa humpa mtunzaji wa mmea huo kivuli cha kupumzika pale jua linapokuwa kali.

Wanaume wanaovaa misuli au mishipi watanielewa.
 
Mi nauliza tu; unamaanisha wanaume hatuna faida kwa wanawake ndo maana hawayatunzi na kuyamwagilia?.
Wao tu ndo watunzwe
 
Mi nauliza tu; unamaanisha wanaume hatuna faida kwa wanawake ndo maana hawayatunzi na kuyamwagilia?.
Wao tu ndo watunzwe

Ndivyo ilivyo...... wanawake wao jukumuu lao wakishamwagiliwa ni kumfurahisha mwanamume. Ndo maana wengine husema kiburudisho.... unachokitunza hukupa kiburudisho.

Mwanaume anayehitaji kumwagiliwa maji na mwanamke ili aishi kama sio mgonjwa basi ni mvivu, dhaifu na ni Mario. ... hafai hata kidogo.
 
Back
Top Bottom