jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Jamaa mmoja aliingia baani akaagiza bia na baadae kumwambia muhudumu kwamba ampe kila mmoja alieko baani hapo bia moja moja maana anapenda anpokunywa na wengine wanywe.
Baada ya mhudumu kumaliza aliagiza supu na baadae kumwambia ampe kila mmoja supu wale maana itapendeza akiwa anakula na wengine wakila.
Baada ya hayo alimuomba muhudumu ampe bili yake na hali kadhalika ampe na kila mmoja bili yake ili anapolipa na wengine walipe.
Je, kama ni wewe ndo ukitakiwa kulipia ilhali aliyetoa agizo ni mwingine ungefanya nini?