shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,452
- 2,345
Makabila mengine walioondolewa enzi za utawala wa KOBOKO zilikua chuki dhidi yao?Chuki dhidi ya Kalemani hazitawaacha baadhi ya watu salama, huu upumbavu haukubaliki hata kidogo. Tunajua Kalemani katolewa pale kwa sababu ya usukuma wake, huwezi ukazuia mafuriko kwa mikono hata siku moja, tambeni mnavyojua, Kalemani umlinganishe na makamba?
Tanesco aliondolewa Mramba, nssf alondolewa Dau na kwingine kwingi wakawekwa WASUKUMA