Kalemani alikuwa analeta ukabila TANESCO ndo maana akapigwa chini

chato aliweka umeme wapi kama kwao Nyambogo hakuna umeme?

kalemani hajachomeka mtu yeyote tanesco labuda kama alilazimishwa na mwendazake.

kalemani ni ndugu yangu, lakini mbinafsi sana, tena sana.

jaribu kwenda kwao kijiji cha nyambogo, kata ya ilemela.

alifariki mama yake..... aliacha gumzo,
akafa mke wake.... alikuwa gumzo...

hata ubunge alibebwa sana na rafiki yake john, kwani 2012 alijaribu unec akachezea kichapo na 2015 kwenye ubunge kura za maoni alikuwa anapumuliwa kisogoni na kijana mmoja anaitwa Deusdedit Katwale( huyu baada ya uchaguzi walimbambikia kesi ya uhujum uchumi ili asigombee ubunge. mama ashamtoa).

wanufaika wa utawala wa magu hazivuki hata kaya 20 kwa chato.

1. familia yake, magu, wadogo zake, na mpwa wake Martin.
2. alipooa Gordian Magufuli.
3. alipooa Musa magufuli.
4. kwa mugosha...
5. walimu waliokuwa chato primary miaka ya 80 kurudi nyuma
6. familia ya furaha wa kawe

wengine walikuwa wamebanwa sana na magu hasa alipokuwa waziri.

kuna familia ya Sende aliwanyima umeme wakati walikuwa Jirani na tanesco wilaya. nguzo wanayotumia tanesco ndiyo wanatumia kwa sende, kisa Dr sende alitaka kugombea ubunge.

Jamaa alikuwa na rohoo mbaya sana, ya vusasi na kila aina ya chuki.

huwa sielewi, ilikuwaje idara ya usalama ikaruhusu hadi akawa alipofikia.

huwa sielewi ilikuwaje ametoka kwenye familia yenye historia ya afya ya akili usalama wa taifa ukaruhusu awe alipokuwa

ilikuwaje wakaruhusu mtu aliyekuwa hahudhurii kwenye sherehe za kitaifa, hakuwa anautii kwa viongozi wake akawa alipokuwa?

Tumsgukuruni sana mungu kwa kuruhusu Mtumishi wake apumzike.

wengi hasa mmemfaham alipokuwa top.

tunategemea 2022 na 2025 kwa mara ya kwanza jimbo la chato litakuwa na uchaguzi huru na haki.

wito: idara ya usalama msije mkaruhusu watu wa aina yake kuukarubia hata unaibu waziri.
Mkuu Hadi kalemani na kwao Wana asili ya ukichaa?
 
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Utakuwa marope ww unakandamizia ndio michezo yake hii
 
Hivi wewe unaweza kudiriki kusema vyuo vikuu wasukuma sio wengi? Wewe unapewa stori vijiweni hakuna kabila lenye watu wanafunzi wengi chuoni kuzidi wasukuma saiz! Endelea kubishana!
Sasa hutaki ukweli mbona JPM hata JK aliwambia Mpeleke watoto shule muache ushirikina na kuchunga mbuzi
 
Tishio kwa kua ni watafutaji na wachapakazi na pia akili kubwa munooooo
Wewe mchaga shinyanga unafanya nini kama sio wizi..mnabahati mlisoma mapema..ila kwa sasa wasukuma ni kama maji usipo wanywa utawaoga..wachaga ninwapiga dili hatari haijawahi tokea..tukiwapa nchi mtauza kila kitu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naunga Mkono
Wanaanza wachaga
Wanafata wahaya
Wanafata wanyakyusa
Makabila mengine hususani wasukuma tumepona kwenye elimu ENZI za mwendazake
Matokeo ya elimu bure yani baada ya miaka 20 ndio wasukuma watatake over kwenye elimu sio sasa
Jipe moyo sukuma land imetapakaa kila mahala kwa sasa..sio serikalini..kwenye chama..hadi kwenye utafutaji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Sukuma gang hao wanahitaji kupigwa chini hadi wsishe kabisa.
 
Akili kubwa wamevumbua Nini ama kwa kuuana kisa nyama ya buku jero. Unayeongea hivi sidhani Kama hata una 200M kwa akaunti yako ama vitega uchumi vyako vinaweza kufika hapo.kuna maongezi ya mtu na binadamu
Nenda Duniani Rafiki hata historia yako hujui!!.. Unajua Watanganyika waliokua wanafanya Export wakati huo walikua wanatoka wapi?!!..
 
Kote kote wanakaba nafasi..kikubwa msione wivu wala kupandikiza chuki mana mwisho wasiku mtawatoa ukarimu wao then mtavuna mlichokipanda..hawa jamaa ni wengi na wameamka sasa..kama shule wanasoma ipasavyo nenda vyuoni utashangaa.

#MaendeleoHayanaChama
Chuo kipi?
 
Back
Top Bottom