Kalemani alikuwa analeta ukabila TANESCO ndo maana akapigwa chini

Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Baseless allegations
 
Mimi kwa kweli ninakubaliana na wewe maana alivyoiminya Geita ambayo ndio makao makuu ya mkoa inauma sana kisa tu makao makuu ya mkoa huo alitaka yawe Chato na Rais wa awamu ya nne akapinga na kuelekeza makao makuu yawe Geita. Kuanzia hapo alipokuja kupata ukuu wa nchi Geita akaanza kuiminya fursa zote za kimkoa.
chato aliweka umeme wapi kama kwao Nyambogo hakuna umeme?

kalemani hajachomeka mtu yeyote tanesco labuda kama alilazimishwa na mwendazake.

kalemani ni ndugu yangu, lakini mbinafsi sana, tena sana.

jaribu kwenda kwao kijiji cha nyambogo, kata ya ilemela.

alifariki mama yake..... aliacha gumzo,
akafa mke wake.... alikuwa gumzo...

hata ubunge alibebwa sana na rafiki yake john, kwani 2012 alijaribu unec akachezea kichapo na 2015 kwenye ubunge kura za maoni alikuwa anapumuliwa kisogoni na kijana mmoja anaitwa Deusdedit Katwale( huyu baada ya uchaguzi walimbambikia kesi ya uhujum uchumi ili asigombee ubunge. mama ashamtoa).

wanufaika wa utawala wa magu hazivuki hata kaya 20 kwa chato.

1. familia yake, magu, wadogo zake, na mpwa wake Martin.
2. alipooa Gordian Magufuli.
3. alipooa Musa magufuli.
4. kwa mugosha...
5. walimu waliokuwa chato primary miaka ya 80 kurudi nyuma
6. familia ya furaha wa kawe

wengine walikuwa wamebanwa sana na magu hasa alipokuwa waziri.

kuna familia ya Sende aliwanyima umeme wakati walikuwa Jirani na tanesco wilaya. nguzo wanayotumia tanesco ndiyo wanatumia kwa sende, kisa Dr sende alitaka kugombea ubunge.

Jamaa alikuwa na rohoo mbaya sana, ya vusasi na kila aina ya chuki.

huwa sielewi, ilikuwaje idara ya usalama ikaruhusu hadi akawa alipofikia.

huwa sielewi ilikuwaje ametoka kwenye familia yenye historia ya afya ya akili usalama wa taifa ukaruhusu awe alipokuwa

ilikuwaje wakaruhusu mtu aliyekuwa hahudhurii kwenye sherehe za kitaifa, hakuwa anautii kwa viongozi wake akawa alipokuwa?

Tumsgukuruni sana mungu kwa kuruhusu Mtumishi wake apumzike.

wengi hasa mmemfaham alipokuwa top.

tunategemea 2022 na 2025 kwa mara ya kwanza jimbo la chato litakuwa na uchaguzi huru na haki.

wito: idara ya usalama msije mkaruhusu watu wa aina yake kuukarubia hata unaibu waziri.
 
Alikua na roho MBAYA kama ya Nyoka KOBOKO
 
Ukitoa madai ya namna hiii unatakiwa utoe mifano hai.. ili watu waipe uzito. Siyo wakubali au wapinge kwa sababu umesema.
Mkuu bado uko ulaya?
Haya mambo ya ukabila na upendeleo yako wazi sana.
Una mfahamu Doto James-mpwa wa Magufuli aliyekuwa katibu mkuu Fedha na Paymaster General?
Unahitaji uthibitisho gani uamini uozo wa kundi hilo la Chato?
 
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Lete evidence siyo porojo. Wakina nani walipendelewa
 
Mkuu hujui ulisemalo. Kalemani ni mkaksi, yaani ni mtu mwema sana ila ni mnoko! Hana muda na mtu zaidi ya wale anaojuana nao. Yaani kama ulikuwa na shida naye then ukatokea kumuona then ukawa hueleweki imekula kwako. Kalemani hakupenda hata kusalimiana kisukuma mbele ya watu. Yaani ukimkuta Kalemani kwenye vikao jifanye humjui, ukijifanya kumshobokea imekula kwako.

Kalemani watoto wake wote hawana kazi za maana, yaani hakuwahi kuwatafutia kazi serikalini. Ni mtu ambaye uzalendo upo damuni. Yaani ni kama Nyerere tu.
Kama Elimu na connection alikua Hana ulitaka awape Kazi wapi?
 
Back
Top Bottom