nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Mkuu hadi sasa hujatoa elimu kuhusu kansa ya uke!
umeongea as if ni wote.....binafsi sijawahi kukutana na mwanamke mwenye hako kaharufu..
Mkuu hadi sasa hujatoa elimu kuhusu kansa ya uke!
Kwa anayejali afya yake inabidi a ignore maushauri ya humu JF mengi ni sumu...
Kama unatoa harufu muone daktari...mnaweza fikiri mnaondoa tatizo kumbe mnatengeneza tatizo kubwa zaidi...shauri zenu...
Maana hili suala nimeona watanzania wengi wagumu kuelewa...kila mtandao unatoa elimu ya uongo...wengine oooh osha na sabuni...wengine weka ndimu...wengine chumvi...eeehhhh unataka kuipika papuchi????
try doggy... ata awe hana utaisikia tu
Acha kuzoa watu wasiojua kujiswafi......hakuna kaharufu kakukera kama mtu ni msafi zaidi harufu safi ya papuchi yenyewe.
Kuna wanao ambiana kusokomeza vidole hili kutoa kile wanacho kiita uchafu! Kuna article fulan nilisoma inasema kuwa hile sehemu kuna viumbe vipo kuhakikisha kuwa sehemu inakuwa salama sasa mtu anapo tumia vidole au sabuni kuweka huko anaweza kuuwa hi yo viumbe vinavyo linda hilo eneo na mwisho wake ni harufu hisiyo ya asili...
Nafikiri kwenye elimu yenye matango mengi ni hii ya kuzuia harufu hasiyo ya asili kwenye uke na kila mtu ana amini kwenye njia!
Dada umeshawai kusikia kitu kinaitwa Kansa ya uke? Unaweza toa elimu?
mbwa nae anayo??????HAJABU
That's the point...
K ikiwa 'safi' in the sense that wale 'good' bacteria wote wameuawa ndio unakaribisha bacteria wapya wenye magonjwa kujinafasi pindi ukikutana nao...
Mfano wanawake tuna risk sana tunapotumia vyoo vya public; lakini risk ni kubwa zaidi kwa anayejisafisha na midole na sabuni kwani hao bacteria wabaya wanakuta K nyeupeee haina askari wa kuwaua...
Hawa wanaotamba humu wanaingiza midole daily hawataki kukiri tu kuwa K zao zinawasha pindi wasipojichokonoa (vicious circle)...
Nimeshajaribu hiyo theory ya kuingiza vidole baada ya kusoma mtandao fulani (mambo ya curiosity na kutojua side effect)...nilichokipata sidanganyiki tena...na ndio maana nawa alert watu wangu wa karibu na wengi wana nishukuru...
Na nimeshasoma articles nyingi online zinapinga kabisa kuosha K beyond external parts
Na zinapinga hata kutumia sabuni aina yeyote hata kama zile so called special kwa kazi hiyo...na ni article za medical doctors...
Nilikutana na mmoja kibahati mbaya. Alipovua chumba hakikukalika. Saikolojiko ifekiti niliyonayo hadi sasa nahisi kila bidada yuko ivo.
Kuna Uzi wa namna hii uliwekwa hapa na siku hiyo ndio niligundua kuwa hili swala watu hawakuwai kuamua kulitolea elimu iliyo sahihi kabisa maana mule kila mtu alikuwa anasema njia yake....wengine sabuni,wengine ....wanaogea dawa... wengine vidole.....That's the point...
K ikiwa 'safi' in the sense that wale 'good' bacteria wote wameuawa ndio unakaribisha bacteria wapya wenye magonjwa kujinafasi pindi ukikutana nao...
Mfano wanawake tuna risk sana tunapotumia vyoo vya public; lakini risk ni kubwa zaidi kwa anayejisafisha na midole na sabuni kwani hao bacteria wabaya wanakuta K nyeupeee haina askari wa kuwaua...
Hawa wanaotamba humu wanaingiza midole daily hawataki kukiri tu kuwa K zao zinawasha pindi wasipojichokonoa (vicious circle)...
Nimeshajaribu hiyo theory ya kuingiza vidole baada ya kusoma mtandao fulani (mambo ya curiosity na kutojua side effect)...nilichokipata sidanganyiki tena...na ndio maana nawa alert watu wangu wa karibu na wengi wana nishukuru...
Na nimeshasoma articles nyingi online zinapinga kabisa kuosha K beyond external parts
Na zinapinga hata kutumia sabuni aina yeyote hata kama zile so called special kwa kazi hiyo...na ni article za medical doctors...
Proffesor anasema ... duhhhh aisee
Mmmh yani ni kweli unafikiri kila mwanamke yuko hivyo? Ina maana huna mwanamke? Mwanamke uliye naye akivua chumba kizima ni harufu? Umeizoa kwasababu unafikiri kunukisha chumba kizima ni asili ya mwanamke?