Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Nimekuambia ina gharama yake, Cost ni kubwa !
100% hulka ya kike !
Nimekuambia ina gharama yake, Cost ni kubwa !
Nimekuambia ina gharama yake, Cost ni kubwa !
Hali zenu wana jamvi,
Leo hii ningependa kuleta mada ambayo ki ukweli haina majibu ya kueleweka kichwani mwangu. Hakuna asie jua kuwa wanawake huwa wana kaharufu ambako ki ukweli kanakera mno ambacho huwa inatoka kwenye tupu zao. Wengi wao huweka miski, hufukiza udi, hupaka manukato, hupaosha na sabuni na njia nyingine nyiiingi. Swali langu ni kwamba njia ipi ni bora kiafya ambayo itatokomeza kabisa harufu hiyo ya kunako? Maana nasikia nyingi zao zinaweza kupelekea kansa ya uke
kaharufu!! pole probably ni usafi umekosekana.
umeongea as if ni wote.....binafsi sijawahi kukutana na mwanamke mwenye hako kaharufu..
try doggy... ata awe hana utaisikia tu
Ndugu, sio kuzoazoa, hata mitaani tunakutana nao, asijitingishe tu, harufu iyooo inatoka!
Ile harufu naipenda mno
Unambishia miss strong wakati ye ndo ana uchi lalalalaaah!
Sio wanawake wote, wengine wanaitambua kwa usafi vyema we unaokota wale wa vilabuni nino??
Hongera!
Unambishia miss strong wakati ye ndo ana uchi lalalalaaah!
Sio wanawake wote, wengine wanaitambua kwa usafi vyema we unaokota wale wa vilabuni nino??
Unang'oa maku pori/vikojozi kwanini usinukiwe?
Hmm.....interesting....very very interesting!