Hao unaokutana nao wewe wanakuwa wagonjwa maanaMi nakuambia ndugu yangu, yaani usimkute amevua, yaani hadi hewa chumbani ina badilika!
Yaaah ni kweli kuna harufu flani hivi,ofcoz kama uvundo flani,haielezeki elezeki sometime nzuri sometimes ndovile jogoo analala doro baada ya 1st round
Unambishia miss strong wakati ye ndo ana uchi lalalalaaah!
Sio wanawake wote, wengine wanaitambua kwa usafi vyema we unaokota wale wa vilabuni nino??
very very interesting....ha ha haaa nimejikuta nacheka kwa sauti.....wewe umekutana nazo?
Hongera ila naamini Kwa majigambo haya ushawahi kukutana na STI. Kugegeda wengi hatusemi maana si ishara ya urijali Bali ufuska. Tulizana.Sijawai kutana na Harufu. Mkuu,japokuwa nimegegeda wengi,ila usafi nadhani unahusika.
Mwache ambishie mwenye mali yake.......usafi ni tatizo kwa hao anaokutana nao.Kujisafi ni art wengine hawajui
Hongera ila naamini Kwa majigambo haya ushawahi kukutana na STI. Kugegeda wengi hatusemi maana si ishara ya urijali Bali ufuska. Tulizana.
Kanaondoka kwa kujiswafi vizuriiii
Asante ndugu yangu, umeongea la maana. Sasa huo usafi ni upi? Wa kujisafisha na vidole na sabuni huko? Au ufanyikaje fanyikaje? Maana naamini huwa wanaoga sasa sijui tatizo ni nini.
Asante ndugu yangu, umeongea la maana. Sasa huo usafi ni upi? Wa kujisafisha na vidole na sabuni huko? Au ufanyikaje fanyikaje? Maana naamini huwa wanaoga sasa sijui tatizo ni nini.
Waambie hao wenzako wenye hizo harufu, wengine wasafi kinoma
Afike Hospital tatizo linawexa kuwa ni sio harufu ya kawaida ni magojwa ya zinaa
Na original vagina odor ina stimulate sana for some
Mi nakuambia ndugu yangu, yaani usimkute amevua, yaani hadi hewa chumbani ina badilika!
Ndugu, sio kuzoazoa, hata mitaani tunakutana nao, asijitingishe tu, harufu iyooo inatoka!
Anajisafisha kwa maji masafi tu bila sabuni, kwa kutumia kidole cha kati au cha pili toka dole gumba kutoa uchafu huko ndani.
Kuna Aroma ambayo ni harufu nzuri ya kike na kuna strong odor/ smell, hii ni ile iliyozidi na kuwa mbaya. Mara nyingi hii iliyozidi na kukera huwa ni dalili ya magonjwa ya zinaa kama kaswende, Klamidia, Gornohoea na mengine.
Swala la kuiondoa linapaswa kuanza na vipimo vya hospitali ili kujua chanzo cha tatizo kisha kulitibu hilo tatizo na itaondoka. Kusema utumie vitu vikali kama perfume, udi, douches na sabuni si kuliondoa tatizo na vingine vinuharibu uke na kuna uwezekano mtu akaharibu mfumo mzima wa kimaumbile wa kiungo hicho cha uzazi kutokana na kuwauwa bacteria wazuri wanaolinda kiungo hicho (Normal flora). Kwa kifupi kuna uwezekano unaokutana nao wana matatizo ya kiafya, ungewashauri wakatibiwe badala ya kuja kuwaanika hapa. Harufu ya mwanamke si kitu kibaya mradi iwe ile ya kawaida isiyokera.