Kwa kawaida harufu ile ni fungus kuna dawa wakitumia kwa siku kadhaa inaondoa fungus na kubaki na natural odor ambayo sio kali na si ya kukera kama unavyosema, lakini bado kwa kila mwanamke haiyumkini kua mbunifu katika kuboresha mwonekano, mvuto na haiba pia.