Kale kaharufu una kaondoaje?

Kale kaharufu una kaondoaje?

Umeona eeh yani inatatisha ...

Kuna rafiki yangu nilimshitua maana aliniuliza anaingiza midole daily lakini bado anawashwa na fangus haziishi pamoja na kwenda hospital several times...
Nikamwambia stop kuingiza madole huko chini...na sasa yuko vizuri kabisa toka aache hiyo tabia...
Inabidi tuombe wizara ya afya itoe elimu...

Maana kuna watu wanauza sijui mafuta ya ubuyu special kwa kuoshea papuchi...very scary...

Mtu akija na lecture yake hawaulizi ujuzi katoa wapi...wanameza mazima mazima...

oooh osha na sabuni...oooh ingiza midole...hatari sana...

Mkuu hadi sasa hujatoa elimu kuhusu kansa ya uke!
 
Nilikutana na mmoja kibahati mbaya. Alipovua chumba hakikukalika. Saikolojiko ifekiti niliyonayo hadi sasa nahisi kila bidada yuko ivo.
 
Aii polen katakuwa kaugonjwa hako kanaitwa "KIKWAPA" dawa ni limao tu kwapan na kunako kwa cku 7
 
Kwa anayejali afya yake inabidi a ignore maushauri ya humu JF mengi ni sumu...

Kama unatoa harufu muone daktari...mnaweza fikiri mnaondoa tatizo kumbe mnatengeneza tatizo kubwa zaidi...shauri zenu...

Maana hili suala nimeona watanzania wengi wagumu kuelewa...kila mtandao unatoa elimu ya uongo...wengine oooh osha na sabuni...wengine weka ndimu...wengine chumvi...eeehhhh unataka kuipika papuchi????

Kuna wanao ambiana kusokomeza vidole hili kutoa kile wanacho kiita uchafu! Kuna article fulan nilisoma inasema kuwa hile sehemu kuna viumbe vipo kuhakikisha kuwa sehemu inakuwa salama sasa mtu anapo tumia vidole au sabuni kuweka huko anaweza kuuwa hi yo viumbe vinavyo linda hilo eneo na mwisho wake ni harufu hisiyo ya asili...

Nafikiri kwenye elimu yenye matango mengi ni hii ya kuzuia harufu hasiyo ya asili kwenye uke na kila mtu ana amini kwenye njia!

Dada umeshawai kusikia kitu kinaitwa Kansa ya uke? Unaweza toa elimu?
 
That's the point...
K ikiwa 'safi' in the sense that wale 'good' bacteria wote wameuawa ndio unakaribisha bacteria wapya wenye magonjwa kujinafasi pindi ukikutana nao...

Mfano wanawake tuna risk sana tunapotumia vyoo vya public; lakini risk ni kubwa zaidi kwa anayejisafisha na midole na sabuni kwani hao bacteria wabaya wanakuta K nyeupeee haina askari wa kuwaua...

Hawa wanaotamba humu wanaingiza midole daily hawataki kukiri tu kuwa K zao zinawasha pindi wasipojichokonoa (vicious circle)...

Nimeshajaribu hiyo theory ya kuingiza vidole baada ya kusoma mtandao fulani (mambo ya curiosity na kutojua side effect)...nilichokipata sidanganyiki tena...na ndio maana nawa alert watu wangu wa karibu na wengi wana nishukuru...

Na nimeshasoma articles nyingi online zinapinga kabisa kuosha K beyond external parts
Na zinapinga hata kutumia sabuni aina yeyote hata kama zile so called special kwa kazi hiyo...na ni article za medical doctors...

Asante dada, bora umewaambia hao wanaojipiga mafingure wenyewe
 
Kinachosababisha kansa hakiko very clear...lakini inadaiwa kuna uwezekano mkubwa ikawa ni chemicals...kwa hiyo watu wana connect wingi wa cases na tabia ya watu wa sehemu hiyo...

Mfano Wazambia wanaongoza kuosha K duniani na wanaongoza kwa kansa ya huko kwa bibi (niliisoma hii kwenye internet)...
 
Harufu isiyo ya kawaida?
Na kila mmoja ana harufu hiyo?
Au unataka ile iwe odorless?
 
Nilikutana na mmoja kibahati mbaya. Alipovua chumba hakikukalika. Saikolojiko ifekiti niliyonayo hadi sasa nahisi kila bidada yuko ivo.

Mmmh yani ni kweli unafikiri kila mwanamke yuko hivyo? Ina maana huna mwanamke? Mwanamke uliye naye akivua chumba kizima ni harufu? Umeizoa kwasababu unafikiri kunukisha chumba kizima ni asili ya mwanamke?
 
That's the point...
K ikiwa 'safi' in the sense that wale 'good' bacteria wote wameuawa ndio unakaribisha bacteria wapya wenye magonjwa kujinafasi pindi ukikutana nao...

Mfano wanawake tuna risk sana tunapotumia vyoo vya public; lakini risk ni kubwa zaidi kwa anayejisafisha na midole na sabuni kwani hao bacteria wabaya wanakuta K nyeupeee haina askari wa kuwaua...

Hawa wanaotamba humu wanaingiza midole daily hawataki kukiri tu kuwa K zao zinawasha pindi wasipojichokonoa (vicious circle)...

Nimeshajaribu hiyo theory ya kuingiza vidole baada ya kusoma mtandao fulani (mambo ya curiosity na kutojua side effect)...nilichokipata sidanganyiki tena...na ndio maana nawa alert watu wangu wa karibu na wengi wana nishukuru...

Na nimeshasoma articles nyingi online zinapinga kabisa kuosha K beyond external parts
Na zinapinga hata kutumia sabuni aina yeyote hata kama zile so called special kwa kazi hiyo...na ni article za medical doctors...
Kuna Uzi wa namna hii uliwekwa hapa na siku hiyo ndio niligundua kuwa hili swala watu hawakuwai kuamua kulitolea elimu iliyo sahihi kabisa maana mule kila mtu alikuwa anasema njia yake....wengine sabuni,wengine ....wanaogea dawa... wengine vidole.....
 
Proffesor anasema ... duhhhh aisee

Hahaha wewe ni mmoja wa watu wanao nifanya niamini jf ina watu wa aina yake! Hilo neno proffesor kasema huwa lina niacha hoi sana.
 
Mmmh yani ni kweli unafikiri kila mwanamke yuko hivyo? Ina maana huna mwanamke? Mwanamke uliye naye akivua chumba kizima ni harufu? Umeizoa kwasababu unafikiri kunukisha chumba kizima ni asili ya mwanamke?

Huyo bidada alikuwa mwembambaaa!! Nikiona wa ivo ile kitu inanijia. My woman is a no one lyk her!!!
 
Back
Top Bottom