Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,493
- 108,831
Yani watu waache kumchaguwa Ponjoro wa Kinondoni Abass Tarimba wachaguwe hii bangi!!Diwani? Diwani wa wapi ? Aligombea udiwani ila hakushinda , alikua CUF
Yani watu waache kumchaguwa Ponjoro wa Kinondoni Abass Tarimba wachaguwe hii bangi!!Diwani? Diwani wa wapi ? Aligombea udiwani ila hakushinda , alikua CUF
We Mama wakati wanaume wanadiscuss issues nenda jikoni ukakune nazi huko.Huyu ndo kiongozi wa nyumbu za CHADEMA. Hastahili kuongoza watu wenye akili timamu.
Sasa mbona huyo Sugu mwenyews alikuwa anamkubali Pina kitambo?Pina mtoto mdg sana kwa sugu kuhusu bongo fleva,
Block 41 ,kabla ya maskani kuitwa kikosi Cha mizinga, ilikua inaitwa Indiana na Sugu alikua mmoja wapo na Hashim Dogo
Kitambo Sugu alimkubali KalaPinaKitambo sugu aliwaleta lost Boyz bongo sugu alikuwa mbele ya muda
Ova
Sasa mbona Sugu mwenyewe anamkubali?Yes ni mshamba I agree with you
Nyinyi wote watoto wadogo kumbe hamna mnachojuaSkupingi mkuu lakn nafikiri kuziba jicho moja sio vibaya kwakua america kuna fetty wap na africa tuna ruger wote identity yao ni Eyesight....
ila kuitumia identity ya zerosight ili uonekane umepinda ni usela wa kizamani
Sasa huyo Sugu mbona anakubali flag la Pina toka enzi hizo? Nyinyi watoto wadogo ndio hamjui kituPina mtoto mdg sana kwa sugu kuhusu bongo fleva,
Block 41 ,kabla ya maskani kuitwa kikosi Cha mizinga, ilikua inaitwa Indiana na Sugu alikua mmoja wapo na Hashim Dogo
Sasa wewe na Pina nani mshamba?Yes ni mshamba I agree with you
Block41 ni nyumbani sugu kaanza kuja block41 kabla hata ujio wa kuwepo kikosi cha mizinga,huyo mdg wangu pina bado hata kuvuma hukoKitambo Sugu alimkubali KalaPina
" Maisha ni magumu lakini cheleapina nakuwa kama mchizi wangu KalaPina"
Nje ya Bongo 1999
Wewe uko kijijini sitimbi unalima mihogo
Sasa na hiyo mistari ambayo Sugu anamsalute PinaBlock41 ni nyumbani sugu kaanza kuja block41 kabla hata ujio wa kuwepo kikosi cha mizinga,huyo mdg wangu pina bado hata kuvuma huko
Kabla ya kikosi block41 kulikuwepo na maskani ya Indianapolis sugu ndiyo alikuwa anakujaga ku hang na mabaria huko
Hebu mpeni sugu respect yake
Ova
Pina mwenyewe ugomvi wake ulikuwa kisa madem tuPina hakuna kitu hata hiyo kikosi yenyewe ana force tu Miaka yote
Ila Sugu alikuwa anamkubali na "ushamba" wakePina mwenyewe ugomvi wake ulikuwa kisa madem tu
Ni kweli pina alikuwa ana ushamba fulani tu
Ova
Pina ni mdg wanguSasa na hiyo mistari ambayo Sugu anamsalute Pina
Ilikuwaje?
Acha hizo sugu wakati analinda Petrol station alikuwa anakaa nyuma ya mwanamboka
Sugu mwenyewe anamkubali Pina ijekuwa wewe
Sasa mbona unaandika kijuaji juaji sana bro kote juu huko umekalia kusema Sugu anamkubali Kalapina kwa sababu zamani aliimba verse mbili tatu kumsifia kwani wewe hujui kwenye maisha kuna marafiki kugombana au kutofautiana mawazo?Sasa na hiyo mistari ambayo Sugu anamsalute Pina
Ilikuwaje?
Acha hizo sugu wakati analinda Petrol station alikuwa anakaa nyuma ya mwanamboka
Sugu mwenyewe anamkubali Pina ijekuwa wewe
Unajua maana ya cheleapina ? Pina mshamba tu hajui loloteSasa huyo Sugu mbona anakubali flag la Pina toka enzi hizo? Nyinyi watoto wadogo ndio hamjui kitu
96 ndani ya bongo DolaSol anaimba
"Maisha ni magumu lakini cheleapina nakuwa kama yule gangstarPina"
Halafu huyo Sugu mwenyewe kwenye Nje ya Bongo 99 anaimba
"Maisha ni magumu lakini cheleapina ,nakuwa kama mchizi wangu Kalapina..."
Nyie watoto hamjui kitu kazi usnitch tu
Bora umemchana anaileta ushamba wake kama Kalapina hapa , Kalapina boya TU hata Wana block 41.hatuna time nae, kaulize Block 41 khs Kalapina utaambiwa ushamba wake wa ki makuSasa mbona unaandika kijuaji juaji sana bro kote juu huko umekalia kusema Sugu anamkubali Kalapina kwa sababu zamani aliimba verse mbili tatu kumsifia kwani wewe hujui kwenye maisha kuna marafiki kugombana au kutofautiana mawazo?
1999 mpaka leo miaka 27 imepita still utegemee mtu mwenye akili active kama Sugu aendelee kumkubali mvuta bangi unga na chawa wa wanasiasa uchwara?
Maskani Indianapolis,nyuma ya Kumbukumbu Shule,now Kuna shed ya parking, Kalapina alikua mshamba tu,aongei kitu,Tena boya ku rap yenyewe kafundishwa na Hashim Dogo, yeye alikua baunsa tuPina ni mdg wangu
Kuanzia huyo chis,dany(rip)
Amani nk wote madg tu
Walijawa na utoto tu
Sasa mm blok41 utaniambia nini hko tuna kibanda cha urithi na nmekaa
Sugu alipokuwa anakuja blok41 alikuwa anakj Indianapolis hapo ht Pina alikuwa hajulikani,
Ova
Indianapolis Dar es salaam, Sugu amewarusha sana hewani.Pina ni mdg wangu
Kuanzia huyo chis,dany(rip)
Amani nk wote madg tu
Walijawa na utoto tu
Sasa mm blok41 utaniambia nini hko tuna kibanda cha urithi na nmekaa
Sugu alipokuwa anakuja blok41 alikuwa anakj Indianapolis hapo ht Pina alikuwa hajulikani,
Ova