kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,639
Kwani kila haki ni lazima iwe ya UKAWA? Hata CCM nao wana haki yao
wewe endelea kujitoa ufahamu.....
Kwani kila haki ni lazima iwe ya UKAWA? Hata CCM nao wana haki yao
Kakobe siku zote ni mpiga debe wa wapinzani.
This time utamuelewa tu mpenz..
Mch.Zakaria Kakobe ameunga mkono kundi imara la UKAWA kusimamia msimamo wao wa kutorudi bungeni kama maoni ya wananchi hayatazingatiwa.Pia amewashangaa viongozi wa wengine dini kuwataka UKAWA kurudi bungeni bila kushauri namna ya kutatua mgogoro."Mbona hamuishauri CCM ijadili rasmi ya wananchi,mnawataka tu UKAWA kurudi bungeni" alisisitiza Mch.Kakobe.Source:Nipashe!
Kakobe siku zote ni mpiga debe wa wapinzani.
Yeye kama kiongozi wa dini lazima awe upande wa wananchi ambao ndio upande wa Mungu.
Hivi mkuu wewe sio mwananchi wa nchi hii??
Hivi kama mwananchi maoni yako unayotaka yajadiliwa BK ni yepi?
Hivi ukiwa peke yako ukitafakari huu uovu unaouteteaga hapa kila siku,roho yako huwaga haijisIkii vibaya?
Hivi unafkiri utakua mtetea maovu na uwongo siku zote za maisha yako?
Hivi unafkiri hicho unachokipata huko kwa kutetea uovu na uongo ndio kila kitu katika maisha yako?
Unafki na uwongo vitakufkisha wapi?
Hahahahahahahaaaaaa! Kakobe ni zaidi ya msanii.
Tulia Anko,
Kakobe siku zote amekuwa akitumia kanisa lake kufarakanisha wananchi wenye itikadi tofauti na yeye.
Tabia hii kwa kiongozi wa dini sio nzuri. Ni bora akavua joho la uaskofu na kuingia siasani kama alivyofanya Mzee Slaa.
Hasira za mradi wa umeme kupita jirani na kanisa lake hazijaisha!
Angekuwa upande wa wananchi basi angeisapoti CCM iliyopewa mamlaka na wananchi kuiongoza Tanzania.
Maandiko ya Mungu yanafundisha kuheshimu kila mamlaka halali iliyoko duniani. Kwahiyo Kakobe ni muhuni tu kama wahuni wenzie UKAWA.
Halafu mwaka 2010 aliwadanganya kondoo wake kuwa Mzee Slaa ni chaguo la Mungu hivyo wampe kura!
1. Upande upi sio wa wananchi?
2. maoni ya serikali-3, yalikusanywa na tume yakiwemo ya wanaccm wananchigani unaowasema wewe?
3. Tume ya katiba ilipata maoni kutoka raia, vyama vya siasa na Taasisi mbalimbali na serikali-3 ndiyo matokeo
ccm imefanya utafiti au imekusanya maoni kupitia tumegani hadi useme upande wa wananchi ni wa ccm?
4. kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa tanzania-Mamlaka ya juu kabisa itatoka kwa wananchi, nimamlakagani zaidi ya watanzania unaiongelea?
Huyu Mchungaji na waislam huwa mbali mbali,, na sio mnafiq maana huwa hafichi hisia zake,, kila siku nahisi ukakasi wa chama hiki
Soma kwanza comment ya mwezio niliyomjibu. Halafu kama hujui maana ya mamlaka bora ungekaa kimya!
By adolay![]()
![]()
1. Upande upi sio wa wananchi?
2. maoni ya serikali-3, yalikusanywa na tume yakiwemo ya wanaccm wananchigani unaowasema wewe?
3. Tume ya katiba ilipata maoni kutoka raia, vyama vya siasa na Taasisi mbalimbali na serikali-3 ndiyo matokeo
ccm imefanya utafiti au imekusanya maoni kupitia tumegani hadi useme upande wa wananchi ni wa ccm?
4. kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano wa tanzania-Mamlaka ya juu kabisa itatoka kwa wananchi, nimamlakagani zaidi ya watanzania unaiongelea?
Hisia zipi? Za kutokuchaguliwa bunge la katiba?
Mkuu nondo kama hizi ndo unategemea kilaza MSALANI azijibu?Yule hana upeo kiasi hiki mkuu.Unamaana wale wanaoisifia serikali bila kuikosoa wako sahihi? nini majukum ya viongozi wadini kwa ujumla wake kwa serikali na raia
1. Wilium Lukuvi alimuwakilisha nani alipotuchongaanisha wakristu na waislam kanisani hivi majuzi?
2. Kakobe ni raia wa Taifa hili au hapana?
a) kama hapana ni raia wa taifa gani?
b) kama ndiyo, katiba inamhusu? kama inamhusu kwanini asitowe msimamo wake?
3. Ni sehemu gani ya Katiba ya JMT inaporuhusu viongozi wadini kuisifu serikali lakini wasikosowe?
4. Kwanini tuna viongozi wa dini ndani ya bunge la katiba wanamuwakilisha nani ccm au wananchi? kama ndivyo kakobe anatofautigani nahao?
Una uhakika gani kama Kokobe anafanya hivyo kwa utashi wake mwenyewe? juzi juzi tu hapa alikuwa analia lia na kumuandikia rais waraka kisa hakuchaguliwa kwenye bunge la katiba!