yegowasu
Senior Member
- Jun 29, 2014
- 141
- 56
Ingekuwa vizuri sana Mchungaji Kakobe angeweka mkazo kwenye dini. Siasa angewaachia wanasiasa. Uchungaji wake unaleta viulizo pale anapoanza kujiingiza kwenye siasa. Aamue moja awe kama Dk Slaa.
Katiba ya nchi haina cha siasa ndo maana kikwete kawateua wachungaji kwenye BMT kwa mantic hiyo Kakobe hawezi kukaa kimya amegusa maoni ya wananchi nampongeza sana