Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Kwani kati ya UKAWA na CCM, nani majority?Move s3 ni ya majority. Inaweza kuzimwa tu na wachache kwa kutumia jeshi. Kwa mazingira ya kisiasa ya Tanzania jeshi halina mpango huo. Si muda mlefu mwafaka utapatikana.