Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,606
- 64,451
Sina chuki yeyote na kakobe, sisi wote tu mfano wa MUNGU why nimchukie,
Nayachukia matendo yake, aamue moja
agombee ubunge au achunge kondoo wa BWANA, mwambieni aache tamaa.
Nayachukia matendo yake, aamue moja
agombee ubunge au achunge kondoo wa BWANA, mwambieni aache tamaa.
Nilijua wewe utajitokeza kumpinga Kakobe maana wewe unachuki naye sana!!