Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Kaka zetu leo nawapeni ukweli

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,378
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
 
Sisi wengine hasa mimi, ukinipa namba najua ndiyo ushanikubalia hivyo, kwahiyo kupangiana cha kuongea au hatua, hilo ni kosa la kiufundi huwa mnalifanya.

Cha msingi msiwe mnatupa tu namba zenu.
Huko kujiongeza ndio mnajiibuliaga wachunaji,,,,

Dada akitoa namba hajui kesho yake huenda akapatwa na tatizo na wewe alikupotezea kukupa no upo karibu atahitaji msaada itakuwaje?

Siku zote nawaheshimu watu ambao nipo nao mda mwingi au tunaopishana Mara kwa Mara njiani, kujifanya jeuri kuna siku utapata tabu ukaona haya.
 
Back
Top Bottom