Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

Hiyo haina shida nyamayao na ndio maana nimesema usubiri akupe ofa sio unalazimisha. Na bora wewe ni mumeo sasa hy ni boyfriend ana mizinga balaa akikuoa si ndio kila kitu utagharamia wewe

Umeombwa uchangie bili tu Maty je angesema ulipie na hela ya Guest si ingekuwa kilio mweh!!!!
 
Nilifikiri niko peke yangu. Wanawake hawanunui vocha kazi kuombomba tu hata kwa long time one night stance.
 
Umeombwa uchangie bili tu Maty je angesema ulipie na hela ya Guest si ingekuwa kilio mweh!!!!
hahahahaha!
angekuja na propozo ya kufanya ''matusi'' kwenye mapagale ili KUSEVU KOST:becky::becky::becky:
 
hivi kuna wadada wanayafanya hayo?...ni wazimu ama, yaani unatoa hela mwanaume akakulale?....yaani hata yeye hela ya kulipia tena ni shughuli, hapana huo ni msalaba tosha.
 
PM.....mmh!
King of Infidelity.....
hahahaha.....:becky::becky::becky:
 
Umeshapona kiuno lakini? au unanitafutia kesi tu hapo
 
hahahahaha!
angekuja na propozo ya kufanya ''matusi'' kwenye mapagale ili KUSEVU KOST:becky::becky::becky:

hivi kwani mwanaume wa hivi hana kwake ama inakuwaje jamani, mmekutana tu rodini mkabebana au bado anakaa kwao, czungumzii kwa waliooa.
 
hivi kuna wadada wanayafanya hayo?...ni wazimu ama, yaani unatoa hela mwanaume akakulale?....yaani hata yeye hela ya kulipia tena ni shughuli, hapana huo ni msalaba tosha.

We si hujui nini maana ya kupenda nina wadada wa 3 gharama za guest huwa juu yao mm huwa sisumbuki hata kidogo.
Mi mkazo unakuwa kwenye tumbo na kilaji...tu
 
Kumbe huwa mnalalwa....??
 
hivi kuna wadada wanayafanya hayo?...ni wazimu ama, yaani unatoa hela mwanaume akakulale?....yaani hata yeye hela ya kulipia tena ni shughuli, hapana huo ni msalaba tosha.

:becky::becky::becky::beckykay tuendelee.....
 
We si hujui nini maana ya kupenda nina wadada wa 3 gharama za guest huwa juu yao mm huwa sisumbuki hata kidogo.
Mi mkazo unakuwa kwenye tumbo na kilaji...tu

kama kupenda ni huko bac nashukuru kweli cjui kupenda....pweeeeh, nitoe pesa yangu haswaa kwa ajili ya ma2c, nitakuwa nina wazimu, pesa ya kinywaji/kula naweza kutoa tena mara moja moja icwe mazoea, nitoe pesa kwenda kuchosha mwili wangu 4 nothing, otee kabisa.
 
:becky::becky::becky::beckykay tuendelee.....

sasa mdada upelekwe guest na pesa unatoa yeye, unaenda kufanyaje kama sio kulalwa?...hivi na mwanaume kabisa anacmamisha? khaaa kuna mapenzi ya ajabu kweli.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…