Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

hivi kuna wadada wanayafanya hayo?...ni wazimu ama, yaani unatoa hela mwanaume akakulale?....yaani hata yeye hela ya kulipia tena ni shughuli, hapana huo ni msalaba tosha.

OHH YESSSS...MBONA WADADA TYPE HIYO MPO KIBAO...NA MIE NI MMOJA WA WANAOFAIDI ULIPIWAJI WA HUDUMA ZA SEHEMU YA KUFANYIA ZINAA....ahahahaha...INAPENDEZA SANAAAA..PESA YAKE, KALIPIA GHARAMA ZA KUKUNWA NAFSI YAKE ...NA KWA RAHA ZAKE...AHAHAHAHA..."WANAWAKE MKIWEZESHWA MNAWEZAAAAAA"
 
mambo ya condom kwa usalama wa mdada anatakiwa awe nayo, lakini hayo mapezni yenu mengine ya kulipiwa mpaka lodge hapana kabisa, mwanaume gani huyo...

mwanaume "shughuli..kuzungusha kiuno...wajibu, kumtia raha mtoto wa kike ndo ajira yenyewe" na usiombe ukutane naye maishani mwako...utauza hata nyumba ya urithi ilihali wazazi wako hawajakukabidhi hiyo mirathi
 
Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji unalipa wewe, sasa uliniitia nini kama unaona huna hela. Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima utamuombaje mwanamke vocha? nisiwafiche kaka zangu ni bora usimpe mwanamke hela wewe ukumuita mpe ofa ya nguvu kisha mrudishe kwao atakuheshim lakini wewe usiombe hela kwa mwanamke ni dharau kubwa mno hata kama huna kipato kikubwa mwanamke kakuzidi we jikaushe tu anaweza kukupa mwenyewe (NOTE: MWANAUME NI AIBU KUPIGA MZINGA NI MWIKO)


Naona tatizo wanawake wengi wa huko kwetu mzoea "kulelewa" na "kubebwa" huku mkifikiri kuwa nyie wajibu wenu ni mmoja tu, kutoa burudani kwa wanaume (ngono), huo umekuwa utamaduni. Lakini vijana siku hizi wanabadilika na wana copy baadhi ya tamaduni za watu wengine, kwa uzoefu wangu wa Norway hata uki propose kwa demu mkapate dinner (girlfriend wako) yeye atalipia chake na wewe chako, la sivyo atakuambia in advance kuwa hajajiandaa kutoka na wewe kwakuwa hana hiyo bugdet kwa hiyo hapo unaweza kumweleza kama utamlipia au la!

Ushauri wa bure kwa akina dada: Mkipewa offer muwaulize hao watoaji nani atalipia? manake kuna siku mtaabishwa, jamaa analipia chake wewe unabaki unang'aza macho, unaweza ukajikuta unaacha under skirt ili uje uigomboe baadae! Alamsikh!
 
OHH YESSSS...MBONA WADADA TYPE HIYO MPO KIBAO...NA MIE NI MMOJA WA WANAOFAIDI ULIPIWAJI WA HUDUMA ZA SEHEMU YA KUFANYIA ZINAA....ahahahaha...INAPENDEZA SANAAAA..PESA YAKE, KALIPIA GHARAMA ZA KUKUNWA NAFSI YAKE ...NA KWA RAHA ZAKE...AHAHAHAHA..."WANAWAKE MKIWEZESHWA MNAWEZAAAAAA"

Anyway, Nashukuru nimeshapita umri wa kufanya hayo. Ila sasa wadada wamepitiliza. kwamba wakaka hawatoshi, au?
 
Du tunaishi ulimwengu tofauti sana, Kama unampenda Hata hauisi kwamba unalipa bill, but outing with some silent expectations (economically) Ni soo, Jaribu kutoka na Yule wa Moyoni uone..........Mwagombea Kulipa......................Mimi napenda kulipa offers.........
Nakaribisha watakao kulipiwa. 'Terms and Conditions apply'
:playball:
 
Baadae mnaanza kusema wenyewe "Yule mwanaume mbahili hata vocha ya 500 hajawahi kunitumia kwenye simu" utafikiri ameambiwa kuwa una share kwenye kampuni ya simu

wewe umeanza kusemwa leo? unasemwa na wanaendelea kusema kwa namna moja au nyingine, fanya kitu kwa roho moja sio unafanya rohoni unanu'ngunika...hujickii kumtumia mwambie wazi ckutumii.
 
Hujapata anayefanya kazi sawasawa ndio maana unaona unachoshwa tu mwili, ukikutana na anayeweza kuidunga G-spot kisawa-sawa, mbona utalipia Guest kila siku!
Yeah maaan....!!! unapiga ile namba 8 wakisugua kipele G huyo atalipia tu.....
 
Du tunaishi ulimwengu tofauti sana, Kama unampenda Hata hauisi kwamba unalipa bill, but outing with some silent expectations (economically) Ni soo, Jaribu kutoka na Yule wa Moyoni uone..........Mwagombea Kulipa......................Mimi napenda kulipa offers.........
Nakaribisha watakao kulipiwa. 'Terms and Conditions apply'
:playball:

Mimi pia nafurahia sana kulipa bills, hata tukitoka na rafiki tu, sijali kulipa bill. lakini hili la kulipia nikamfurahishe mtu!:sorry: I cant
 
Wanaume
hii neno hili

Ni kweli hawa watu wapo na wanatia aibu sana, no wonder why na wao wanat... siku hizi
 
Dadangu mambo yanabadilika hivi sasa. Suala la kutoa ofa si la mwanaume tu. Nyie wenyewe kila siku mnalia na 50 kwa 50. Sasa ukiambiwa tu ulipie vinywaji unapiga kelele. Je ukiambiawa ulipie guest na bado jamaa anakutafuna utafanyaje. Unatakiwa ubadilike lipia ofa kwa furaha

kula tano!
 
eeh....maty!

hapo kwneye red.....exactly thats the way to go...maadamu siku hizi hakuna kazi zinayobagua mwanamke ( and for that matter salary-wise), in fact kuna wanawake kibao wana earn kuliko wanaume..so hakuna excuse kwanini tusichangie bill,

Hapo kwenye green, hiyo heshima ya mwanamke kwa mwanaume ambaye anapendw akupewa vocha yeye, kupewa hela ya saluni yeye, mafuta ya gari yeye, kodi ya nyumba yeye apewe, ada ya mtoto wa shangazi yake yeye, ...kama kufanyiwa heshima ndo huko basi huyo heshima bora nisiipate.

halafu, hivi mnalilia usawa upi hasa ndo ninaposhindwa kuwaelewa

kama sualani kidude, si twapeana? kama utendaji kazi 'unashuka' kunako 6x6 basi hiyo ni issue nyingine lakini chonde2 msitumie vidude eti kutublackmail manake wengine hatudanganyiki

(hapa infidelity haihusu wajameni naongelewa 'ideal' situation)

Mwalimu Gaijin unaweza kusoma ila usichangie tafadhali. Asante

kula tano!
 
Kumbuka wanaume tuna mambo mengi makubwa ya kutake care kwahiyo mimi hata mke wangu au girlfriend akilipa bili naona ni poa tu kwani kuna sehemu imeandikwa wajibu wa kulipa bili ni wa mwanaume au ukilipa bili ndio unaonyesha uanaume wako well mmekuwa mkitaka usawa natumaini usawa una apply kwenye mambo kama hayo pia

kula tano! (hakuna kitufe cha senks kwenye mobile version)
 
Mimi sijakataa kwamba ni kweli mambo yamebadilika, usubiri nikuite nikupe ofa na nilipie mimi sio unaniita halafu unaanza kunipa mzinga. Na hiyo 50 kwa 50 ni ya kwenye majukwaa tu katika uhusiano hamna mwanaume anabaki kuwa mwanaume tu na lazima abebe majukumu yake

kula tano!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom