Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

ha ha ha ha ha ha!
hongera maty kwa kutoa ''LAKO LA MOYONI''
na hakika ujumbe umenifikia.......

sasa fl1 hebu niambie.....
ZILE BIA NA SUPU YA SATO SIKU ILE ITABIDI NIKURUDISHIE GHARAMA,au?
nitumie akaunti namba yako basi:becky::becky::becky:
 
hapo mnajuaje makubaliano yao? inaweza kutokea kabisa, hata mie huwa nafanya mara moja moja nikiona hela haina mawazo namtoa mr outing, na kulipa mazaga zaga yote, mie bado cjawaelewa labda.

Hiyo haina shida nyamayao na ndio maana nimesema usubiri akupe ofa sio unalazimisha. Na bora wewe ni mumeo sasa hy ni boyfriend ana mizinga balaa akikuoa si ndio kila kitu utagharamia wewe
 
Duh bora umeweka wazi mwenyewe.
Kwa hiyo vp hiyo njemba unaipenda au mnamaliza ukakasi tu kila mtu kimpango wake.
Watu tunataka kutangaza nia bana weka wazi.

Fidel80 nina mpango wa kufanya mkutano wa hadhara hapo Chalinze siku za usoni nafikiri kwenye suala la logistics utakuwa umekaa vizuri hapo
 
Hahahaha mm nina sampuli zangu mpaka Teamo na Asprin wamenizidi kete hapo Chalinze unafikiri mchezo.... mitoto mitoto kweli
hahahahaha!
unakiita kipuli kimoja kuinabeba na wenzie sita......
kudadadadadeki wote wanatumia BAVARIA:becky::becky::becky::becky:

...na makange ya samaki pale salenda...sahani moja sh 12000
 
Duh bora umeweka wazi mwenyewe.
Kwa hiyo vp hiyo njemba unaipenda au mnamaliza ukakasi tu kila mtu kimpango wake.
Watu tunataka kutangaza nia bana weka wazi.

Lol amenifanya niingie nyongo kabisa sitaki mtu kabisa sasa nimeamua kubaki mwenyewe nimalizie uzee wangu kwa amani
 
Hiyo haina shida nyamayao na ndio maana nimesema usubiri akupe ofa sio unalazimisha. Na bora wewe ni mumeo sasa hy ni boyfriend ana mizinga balaa akikuoa si ndio kila kitu utagharamia wewe

kama ni hivyo haipendezi kabisa, au alivutiwa na wewe akijua una ka uwezo ndio akataka kukugeuza mamake mzazi?...na wewe ungefanya mara mbili/tatu then unamtolea uvivu kabisa ili ajue hufurahii hayo.
 
hahahahaha!
unakiita kipuli kimoja kuinabeba na wenzie sita......
kudadadadadeki wote wanatumia BAVARIA:becky::becky::becky::becky:

...na makange ya samaki pale salenda...sahani moja sh 12000

Hapo bado hatujaweka gharama za KAPONGO GUEST HOUSE!
 
hahahahah! Asprin bana!
Pole sana dada maty.....siku nyingine tafuta vidume kama sisi ambao tunaamini katika infidelity......Tuna rule yetu moja inayosema ni jukumu la infideleta kugharamia zoezi zima la infidelity kwenye first date. Usisahau second date inategemea na kilichotokea kwenye first date........
 
Lol amenifanya niingie nyongo kabisa sitaki mtu kabisa sasa nimeamua kubaki mwenyewe nimalizie uzee wangu kwa amani

Wengine huwa hatupendi kabisa kulipiwa na mwanamke tafadhari fikiria mara mbili mbili uamuzi wako huo.
 
Lol amenifanya niingie nyongo kabisa sitaki mtu kabisa sasa nimeamua kubaki mwenyewe nimalizie uzee wangu kwa amani

Hivi ushakutana na mijanaume mingapi ikakufanyia huu unaa? Usijali, hebu twende PM tuka do the needful, safari hii utakutana na pedeshee la mainfiiz!
 
Fidel80 nina mpango wa kufanya mkutano wa hadhara hapo Chalinze siku za usoni nafikiri kwenye suala la logistics utakuwa umekaa vizuri hapo

Usijali mkuu tutawasiliana tu kudu ze nidifull ule nyama ya nyongo.
 
Pole sana dada maty.....siku nyingine tafuta vidume kama sisi ambao tunaamini katika infidelity......Tuna rule yetu moja inayosema ni jukumu la infideleta kugharamia zoezi zima la infidelity kwenye first date. Usisahau second date inategemea na kilichotokea kwenye first date........

Unaposema second date inategemea na kilichotokea kwenye first date unamaanisha nini? nijuze kidogo
 
Hapo bado hatujaweka gharama za KAPONGO GUEST HOUSE!
hehehehe!
wekundu wawili hapo wanaongezeka

ndo maana mwisho wa siku huwa naishia kuchukua namba za woote waliokunywa bavaria zangu then nitakuwa nawaita mmoja baada ya mwingine
 
hahahahaha!
unakiita kipuli kimoja kuinabeba na wenzie sita......
kudadadadadeki wote wanatumia BAVARIA:becky::becky::becky::becky:

...na makange ya samaki pale salenda...sahani moja sh 12000

Mzee yaani unakuja ukoo mzima wengine wanakuja na kaka zao kisa amepata shem dah
 
kama ni hivyo haipendezi kabisa, au alivutiwa na wewe akijua una ka uwezo ndio akataka kukugeuza mamake mzazi?...na wewe ungefanya mara mbili/tatu then unamtolea uvivu kabisa ili ajue hufurahii hayo.

Sio kumtolea uvivu tu nilimpa vidonge vyake na kumwaga kabisa ili siku nyingine akikutana na mwingine ajifunze
 
hatukatai gf au mkeo kulipa bili lakini apende yeye sio mwanaume mzima unaanza kukomalia gf alipe bili wakati wewe ndio umemuita aamue yeye mwenyewe kukusaidia

Hapa umesema kabisa
 
Unaposema second date inategemea na kilichotokea kwenye first date unamaanisha nini? nijuze kidogo

Kama kwenye first date uliwajibika itakiwavyo, then second date hutalazimika kuchangia gharama. Ila kama hukuwajibika, second date hutachangia pia kwakuwa wala haitakuwepo...You see? Fair enough! Huna gharama itakayokuhusu kwa namna yoyote ile....Juhudi zako tu...Sasa twende PM!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom