Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

Ila jamani wanaume wa siku hizi wanapenda sana kutunzwa sio siri. Tuliwahi kukaa Mango garden hapo kinondoni siku moja tukaanza mada hii mwishowe tukaishia kusema tuone wanawake wangapi wanalipa bill? Tulihesabu karibuni meza ishirini hivi tukakuta meza 16 ni wanawake ndo wanalipa bill na ukiangalia mwanaume aliyekaa nae anaonyesha kabisa ni boy/mume wake tukaishia kukubaliana wanaume wa siku hizi wanapenda sana kutunzwa na wanawake hata kama anafanya kazi.

hapo mnajuaje makubaliano yao? inaweza kutokea kabisa, hata mie huwa nafanya mara moja moja nikiona hela haina mawazo namtoa mr outing, na kulipa mazaga zaga yote, mie bado cjawaelewa labda.
 
hatukatai gf au mkeo kulipa bili lakini apende yeye sio mwanaume mzima unaanza kukomalia gf alipe bili wakati wewe ndio umemuita aamue yeye mwenyewe kukusaidia

sasa hapo huyo alikuwa mifuko imetoboka kwa cku hiyo na anataka mtoko ikabidi atumie njia mbadala....haaa kuna mambo eeeh, mana mie mwanaume wa hivyo nitamshangaa labda awe ameniambia mapema.
 
Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji unalipa wewe, sasa uliniitia nini kama unaona huna hela. Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima utamuombaje mwanamke vocha? nisiwafiche kaka zangu ni bora usimpe mwanamke hela wewe ukumuita mpe ofa ya nguvu kisha mrudishe kwao atakuheshim lakini wewe usiombe hela kwa mwanamke ni dharau kubwa mno hata kama huna kipato kikubwa mwanamke kakuzidi we jikaushe tu anaweza kukupa mwenyewe (NOTE: MWANAUME NI AIBU KUPIGA MZINGA NI MWIKO)

Maty, kama alikuita akupe ofa halafu akasema mnagawana nusu hapo alikosea.

Lakini kuombwa vocha, sijui pesa au kulipa bill ya bar au kulipa chochote hakuna ubaya kama mko kwenye mahusiano ambayo mnayajua wenyewe . Usiwe kama wale wanawake ambao wanafikiri kila kitu lazima mwanaume afanye. nope i beg to differ with you on that note. wakati mwingine chukua responsibility ya kulipia vitu umpumzishe mwenzio. maana hata yeye naye anastruggle kupata hicho alichonacho aweze kukulipia. tena wakati mwingine wanaume hufurahia pia kulipiwa na wapenzi wao hata kama uwezo anao wa kulipa.
 
mara moja moja sio mbaya, icje kugeuka mazoea.
 
hatukatai gf au mkeo kulipa bili lakini apende yeye sio mwanaume mzima unaanza kukomalia gf alipe bili wakati wewe ndio umemuita aamue yeye mwenyewe kukusaidia

Hahahaha pole kumbe yamesha kukuta :becky::becky: Asprin anakufaa sana
 
Kwa maisha ya ki-magharibi nikikutoa out haina maana nitalipa expense zote. kila mtu ana-clear alichokula. Na hii ni kwa sababu kila mtu anafanya kazi kwa hy anakipato.
kwa Africa hii bado haijabamba.
 
Hakuna hoja hapa inaonyesha alizoea kupiga mizinga sasa kaombwa yeye imekuwa ishu namna hii.

Niliyokutana nayo ilikuwa kali sijawahi kumpiga mzinga hata siku moja lakini nashangaa yeye kila siku mizinga mpaka nikawa najiuliza huyu mbona hashangai mimi demu simpigi mzinga wowote lakini yeye tu inakeraaaaaaaa
 
Duh bora umeweka wazi mwenyewe.
Kwa hiyo vp hiyo njemba unaipenda au mnamaliza ukakasi tu kila mtu kimpango wake.
Watu tunataka kutangaza nia bana weka wazi.
 
Maty uliangukia pabaya hapo halafu watu wa sampuli hiyo mbona ni rahisi sana kuwabaini next time ni PM for more information
 
Duh bora umeweka wazi mwenyewe.
Kwa hiyo vp hiyo njemba unaipenda au mnamaliza ukakasi tu kila mtu kimpango wake.
Watu tunataka kutangaza nia bana weka wazi.

haaa hii hasara cjui maty ataibeba kwa mbeleko gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom