MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,311
Kuzini ni dhambi kubwa sana.
Sasa fikiria,
Tena unazini na 'mke' wa kaka yako kabisa.
Ikiwa una hofu ya MUNGU hata akutege vipi moyo hauwezi kuyumba, lakni kama huna, MUDA WOWOTE WAWEZA ANGUKIA KWENYE HIO DHAMBI...
Na hio dhambi itaweka matatani uzao wako mwenyewe.
Neno la MUNGU linasema hivi
'Aziniye na mwanamke hana akili kabisa'
Iepuke hio laana, uchi usikuponze. Shemeji yako anahitaji maombi ilihio roho chafu ya uzinzi imtoke.