Kaka yupo rumande, shemeji ananitaka kimapenzi

Kaka yupo rumande, shemeji ananitaka kimapenzi

Kaka yako ameitenda Jamuhuri kosa gani mpaka anaozea rumande? Tukijua kosa itatupa kuliona swala hili kwa macho ya kisheria ili tujue kama kaka ako atatoka hivi karibuni au 'tukupe ruhusa ya kugonga'!
 
Hainaga ushemeji!
sema ujue nini wakati kaka ake yuko free mlikua mnakaa sana na shemeji yako karibu..
si ajabu kukutaka kwa7bu anamuona mumewe ndani yako..
baada ya kufungwa kaka ako nahisi mmekua karibu sana, imemjengea tamaa ya kukutamani..

gegeda tu hakuna namna
ila msijiachie kabisa kabisa...
 
Kweli mkuu, kama yupo behind bars kwa miezi saba sasa na ukute ana miaka tena miwili mbele tutajua nini cha kumshauri huyu Mr mgeni
 
hama hapo kwa kaka yako......na utangulize busara katika kila maamuzi utakayochukua....
 
Shemeji zima taa!
Achana nae bora ale mtu mwingine kuliko wewe....kuna wataalamu wa kula wake za watu watakusaidia.Tena huyo ambaye mmewe yupo butimba haina mawazo ya kubambwa.
 
Hainaga ushemeji!
sema ujue nini wakati kaka ake yuko free mlikua mnakaa sana na shemeji yako karibu..
si ajabu kukutaka kwa7bu anamuona mumewe ndani yako..
baada ya kufungwa kaka ako nahisi mmekua karibu sana, imemjengea tamaa ya kukutamani..

gegeda tu hakuna namna
ila msijiachie kabisa kabisa...
😀😀😀😀😀
 
Kwanza kabisa mbele za mwenyenz Mungu ni dhambi,, usijaribu kutembea na shemu,, kwa sababu akishatoka jela brother wako na anajua huyo atakuwa mke wako cyo wa kwake tena,,, na kwa vyovyote vile lazima ajue
 
Hapo timua vumbi mkuu. That is not a righteous menu kwako. Majuto ni mkuu kaka !! Be wise and knowledgeable enough umsaidie shemeji yako asichepuke hata na mtu mwingine. Yuko majaribuni tu but unaweza kumsaidia bila kubadilishana vikojoleo vyenu visivyo na adabu !!
 
Wanasema hainaga ushemeji tunakulaga......
Duh! Sasa hapo brother unamuangaliaje yaani kwa mfano, na je ikitokea wewe umemzidi brother maufundi( kwa mujibu wa mwanamke)si mtakua mnaendelea kweli? Yaani siku hizi DNA ni lazima nisje nikajikuta nalea mtoto wa mdogo mwangu achana na anaeweza kuwa ananisaidia
 
Ushauri Wangu ni huu, angalia faida na hasara ila kumbuka hili
"SADISM IS INEVITABLE WHEN THE SITUATION IS ALARMING"
 
Back
Top Bottom