Kaka yupo rumande, shemeji ananitaka kimapenzi

Kaka yupo rumande, shemeji ananitaka kimapenzi

Habari wanaJF,

Kaka yangu na shemeji wana ndoa kabisa ya kisheria na kiserikali. Huyu my bro yupo mikononi mwa serikali yapata 7 miezi sasa.

Ishu ni shemeji kuvumilia hawezi na kaniweka wazi kanieleza yote ya moyoni kuwa anataka kutembea nami, sasa mimi nifanyeje jamani?

Hebu mpeni ushauri shemeji yangu afanye nini tofauti na kungonoka ili hamu zimuishe. Mimi bado sijampa jibu, naombeni majibu mazuri ili nikimueleza nieleweke.
Tafuta namna ya kumkwepa.
 
Hana lolote mshenzi tu huyo, ina maana wanaume wote hao kakuona ww tu shemeji yake ? Achana nae anataka kukuletea kashfa, ww badala ya kuhangaika kumtoa ndugu yako, uhangaike nae...kwanza hafai huyo hata kwa kulumagila..
 
bodaboda mr mgen si alikuchapia mkeo.....naw mchpie kaka yako
 
Ni bora ww ufanye hiyo kazi kuliko mtu wa nje In this way it stays in the family
 
Kulikoni akaliwe na mtu mwingine huko nje bora umsaidie kaka kugonga huo mzigo
 
Duuuhh, kuishi kwingi kuona mengi.

Kwa hili ukikataa kuwa nae ni jambo la busara lakini ukiamua kuwa nae ni jambo la hekima.
 
alafu the end..take ni nn?
1466858228504.jpg
 
Ndugu usithutu hata kidogo laana inakuja kwa kasi ya ajabu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Hapo sasa, utata. ukimla shemeji yako, halafu kakako akijua utapata wakati mgumu sana utatamani dunia ipasuke ujifiche. lakini pia ukisikia shemeji anachukuliwa na lijamaa tu wakati bro wako yupo jela utaumia sana.

Bora jamaa ale yeye kuliko wa nje duh!
 
We mlainixhe tu hamna namna mana hata ukimwambia ukwel ataona umemkatalia tu mana navojua miaka iyo ni mingi sana kiasi kwamba maalishababu wamejenga ngome imara hata wewe unapaswa na physical strength za ktosha ili uweze kukabiliana nao ipasavo
 
Inaonekana wewe mnoko saana ndio maana akakakutaka wewe
mruhusu tu achepuke ufunge mdomo
 
Back
Top Bottom