NIPE NAMBA YA SHEMEJI YAKO NIKUSAIDIE...UJUWE KAKA YAKO AKITOKA LUPANGO AKAJUA UMEMCHAPIA MKEWE HUO UGOMVI HAUTOISHA .. ILA AKIJUA AU AKIAMBIWA MIE MSWAZINAA NDIO NIMEMSAIDIA KAZI ATAISHIA KUSEMA POA TUU UKICHAPIWA UNATAFUTA MNYONGE NA WEWE UNAMCHAPIA NGOMA DOROOOO.Habari wanaJF,
Kaka yangu na shemeji wana ndoa kabisa ya kisheria na kiserikali. Huyu my bro yupo mikononi mwa serikali yapata 7 miezi sasa.
Ishu ni shemeji kuvumilia hawezi na kaniweka wazi kanieleza yote ya moyoni kuwa anataka kutembea nami, sasa mimi nifanyeje jamani?
Hebu mpeni ushauri shemeji yangu afanye nini tofauti na kungonoka ili hamu zimuishe. Mimi bado sijampa jibu, naombeni majibu mazuri ili nikimueleza nieleweke.
Maana yake ni kwamba!...........UKATILI HAUEPUKIKI KUFANYIKA KAMA ITAONEKANA UPO KATIKA HALI YA HATARI!tafsiri basi maana sikwenda shule mwenzenu
Uzuri wa jf huo.Watu wanatrace back.Kila nikiona Jina lako Namkumbuka mkeo na yule hawara ake mwenye bodaboda ha ha ha ha ulivomfuma akimpelekea hotpot la msosi lol
nikimtia mimba bahati mbaya..what's follow?mkuu
Habari wanaJF,
Kaka yangu na shemeji wana ndoa kabisa ya kisheria na kiserikali. Huyu my bro yupo mikononi mwa serikali yapata 7 miezi sasa.
Ishu ni shemeji kuvumilia hawezi na kaniweka wazi kanieleza yote ya moyoni kuwa anataka kutembea nami, sasa mimi nifanyeje jamani?
Hebu mpeni ushauri shemeji yangu afanye nini tofauti na kungonoka ili hamu zimuishe. Mimi bado sijampa jibu, naombeni majibu mazuri ili nikimueleza nieleweke.
No bora ukamtimizia wewe haja make wakaka no make wako name ndio we we MTU was kmsaidia kwa ukaribu vinginevyo akihamia kwingine atahama name kila kitu mtunzie kaka mkewe .wallahi sijala japo vlao
Kufumua marinda!!! Ndo nini eti?hahaha wewe mwanawane mgegede tuu huyo mwanamke wala usipate tabu....sasa cha msingi wewe wewe kuhakikisha kwamba unamfumua marinda pia.
Kufumua marinda maana yake ni hiviKufumua marinda!!! Ndo nini eti?