Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

Mimi nilijichagulia maisha nitakayo kwa kujifunza mapeema kwa waliokuwa wananizunguka. Nimewaona watu wakiumia na mahusiano (ya mapenzi, undugu hata urafiki). Nikajiamualia haya hayatakuwa kwangu!!! So, naweza kusema sijajifunza kwangu bali niliona toka mbali.


sasa bestito, ulitaka wote tuungane nae humu kulia na kumuombolezea kakake? Mie naamini kwenye kuhesabu baraka zangu. Tena baraka ndogondogo like a roof over my head, food on my table, afya njema, friends and family who make me laugh, unajua nikianza sitomaliza. He is just one person who went A.W.O.L! for pity's sake
 


Labda Box bado halijakubali mkuu,,,si unajua mwenzao alikufa wakashindwa kumchangia $6000 hadi akachomwa moto?
 

Hapo sasa umenena na haya ndio huyu anayahitaji kusikia kuwa yeye sio wa kwanza na wala hatokuwa wa mwisho na haya ni mapito leo yumo kesho atatoka na kusonga mbele historia haziwezi kufanana ila tu yeye akisikia kama hivi kutoka kwako kuwa kuna kuwa disappointed maishani tena saa nyingine na watu wa karibu uliowaona kama tegemeo naye anapata faraja na kuona kuwa kumbe ni sehemu ya maisha!!!!!!

Jinsi alivyolileta hapa ni kama mtu anayejiona ana mkosi, bahati mbaya au labda hata anaonewa!!!!!
Kimtindo hapo tumeungana sasa kumueleza kuwa.......anaweza kutoboa pamoja na kuwa kaumia kwa yaliyotokea!!!!!!

Toto bishi kama nini!!!!!????
 
Wewe umeelewa mada au na wewe ni diaspora anaekurupuka tu

Urithi na Diaspora wapi na wapi??
Ok,
1) Yeye wakati anachukua hizo hela alikuambia anakwenda kusoma au Kufanya kazi?
2) Kama kufanya kazi, za halali au za magumashi?
3) Hizo kazi alizoenda kufanya ana utaalamu au uzoefu nazo kiasi kwamba ni lazima afanikiwe?
4) Mlipeana "time limit" kua mpaka muda fulani awe ashazizalisha kiasi cha kuweza kukusaidia na wewe?
5) Kwanini alichukua yeye hizo hela na sio WEWE au WOTE?
6) Na wakati yeye akizitumia hizo hela kujenga maisha yenu, wewe ulikua/unakua unabaki unafanya nini? Umekaa tu kusubiri kaka ajenge maisha au unashughulika na mishemishe nyingine?
7) Ilikua ni lazima sana aende Ughaibuni na sio labda kujaribu kuwekeza hapahapa nyumbani?
8) Binafsi unavyomuona ana tabia zozote za mashaka mashaka kama wizi, ubinafsi, utapeli e.t.c kabla hajaondoka?
9) Ukimuuliza hua anakujibu nini hasa?
10) Huo mpango wa kumtumia yeye kuzalisha hela aje akusaidie na wewe mlifanya peke yenu bila kumshirikisha yoyote Mtu Mzima wa Ukoo (Ndugu)??
 
True story is,this shot had happened to me for real wakati mwingine huwa nafikiri wamemloga braza

Kama vipi mtaje, hii issue nzito sana, mods wata think twice kukuban
 
Jina lake linaanzia na A na Anatoka state flani Marekani with an MI
so find out for yourself
 

nilivyoelewa kuna watu wa huko wanasema jamaa yuko vizuri!
 
Ahahaha, mie sio mbishi. Toka mwanzo nimemuambia sio ishuuuu! Yaani huyu ngoja aje aoe, apate msala wa kufukuzwa kazi ama hasara kubwa kwenye biashara. Afu atelekezwe na mke. Ndo atajua huyo bro wake wala haumi wala kung'ata!

uache ubishi kaka, khaa!
 

Mkuu wala uskonde!
Hata Ishmael alipewa hela za urithi za Kanisa kwenda kusomea biblia nje, akajiingiza ktk biashara za kitapeli matokeo yake kawekwa ndani!
Humo kakutana na white supremacist wakamuoa!
Siku hizi hata biscuti hawezi kuvunja!

Ndio maisha hayo.
 
Last edited by a moderator:


Halafu King'asti wewe nina mpango wa kukutelekeza katika mazingira haya haya!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
You King'asti will be changed by what will happen to you and you will be reduced!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Atakuwa tu kama yule mwana mpotevu,
pengine huko maisha yameshamharibikia ile mbaya,
Komaa tu na Mungu atakusaidia.
 
Usilaumu mkuu, pengine kaka amekwama. Maisha ya nje si kama unavyoyachukulia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…