Mamii naelewa kama wewe ila huyu mtu ana umri gani, kapitia yepi so far, unaweza kuta bi mkubwa aliwaambia naawaacha wenyewe pendaneni sasa maneno kama haya yanataka ukomavu kuona kuwa life can go beyond wishes!!!!!
ukomavu hatuzaliwi nao ila tunajifunza sasa huyu anapitia njia ngumu may be katika umri mdogo pia!!!!
wala hujanielewa wewe! yaani in any situation whatsoever, King'asti is happy and survivinggggg! kama waliambiwa pendaneni, yeye si ampende tu kimoyomoyo? na huyo kaka nae si ajabu anampenda kimoyomoyo aisee. kuweni understanding, jamaa si ajabu hajasettle wala nini, anavurugwa na boksi huko balaa. I work for 6 hours a day and 5 days a week. siwezi kumuelewa mtu ambae anafanya kazi 14 hours a day, manake nadhani ningeambiwa nanuna coz nisingekuwa na energy hata ya kuongea na simu!!
ampe time, na yeye alisongeshe. Mungu yupo, kama akiamua amuone kwenye boksi akishakufa, hewala. learn to accept the things that you have no control over na uone maisha yalivyo matamu! OLESAIDIMU, kama mie na wewe tunakaa nyumba moja na ukanipita bila kunisalimia ama kuitikia salamu yangu i presume una mawazo na haukuniona. and i have a smiling day, breathing in the polluted air!
Pole sana mi nafikiri watu hawajamuelewa mtoa mada nilivyo muelewa Mimi halili urithi Wa Mama aliyoondoka nao kaka yake anacholilia ni mapenzi toka kwa kaka yake hata kama hana kitu kabisa ilimradi asikie tu sauti au amuone kaka yake kumbukeni wamezaliwa 2 tu so alipofariki mama yao akategemea kua kaka yake ndio kila kitu kwake yaani mapenzi ya mama yangelikua kwa kaka yake' pole endelea kumtafuta usichoke mungu atakusaidia utampata kaka yako name life itaendelea kama zamani
Pole sana.Ndugu zetu wa Ughaibuni ndivo walivo.Hua wanajifanya kuwasahau ndugu zao mara tu wafikapo huko.Wanapokufa ghafla sisi ndio huangaika kuwasitiri wao,watoto na wajane zao.Na wewe punguza kuchanganya kiswahili na vingereza bila sababu za msingi maana ni dalili za majivuno na ulimbukeni.
usichangae inawezekana kaka hana hata hela ya kuwasiliana na jamaa na inaweza ikatokea akamtafuta dogo ili amsaidie kurudi nyumbani,aisee majuu sometimes ukiingia kichwa kichwa inakula kwakoInawezekana uyo kaka yako ni HOMELESS yuko ana tanga tanga bado hajaseto mpe miaka kama 5 bado mapema sana.
Usichukie mtu bila kujua maswahiba yaliyomkuta pengine yuko jela amefungwa
Ana miaka 10 ughaibuni
Pole sana.Ndugu zetu wa Ughaibuni ndivo walivo.Hua wanajifanya kuwasahau ndugu zao mara tu wafikapo huko.Wanapokufa ghafla sisi ndio huangaika kuwasitiri wao,watoto na wajane zao.Na wewe punguza kuchanganya kiswahili na vingereza bila sababu za msingi maana ni dalili za majivuno na ulimbukeni.
pole sana mi nafikiri upendo ndo wakutesa sana sana kwa nduguyo huyo,jaribu kuwa karibu na mungu zaidi ukimwombea iko siku atarudi kukutafuta mdogo wake u never know naye anaumia kama wewe ila hataki kuja sasa kwani wakati wake bado.
Ughaibuni wapi, kuna nchi za kifala kama Estonia ni ulaya vijijini
Acha kuwa tegemezi fanya kazi namwombee nduguyo afanikiwe
Pole sana.Ndugu zetu wa Ughaibuni ndivo walivo.Hua wanajifanya kuwasahau ndugu zao mara tu wafikapo huko.Wanapokufa ghafla sisi ndio huangaika kuwasitiri wao,watoto na wajane zao.Na wewe punguza kuchanganya kiswahili na vingereza bila sababu za msingi maana ni dalili za majivuno na ulimbukeni.
Pole sana mi nafikiri watu hawajamuelewa mtoa mada nilivyo muelewa Mimi halili urithi Wa Mama aliyoondoka nao kaka yake anacholilia ni mapenzi toka kwa kaka yake hata kama hana kitu kabisa ilimradi asikie tu sauti au amuone kaka yake kumbukeni wamezaliwa 2 tu so alipofariki mama yao akategemea kua kaka yake ndio kila kitu kwake yaani mapenzi ya mama yangelikua kwa kaka yake' pole endelea kumtafuta usichoke mungu atakusaidia utampata kaka yako name life itaendelea kama zamani
Weeeewe umekuja kuwaje asee!!!!!
Haya mawazo unayotoa ni ya mtu aliyekutana madhila mpaka akaamua kuwa flexible the you and I's!!!!!!
Huyu bado na ndio maana kaja hapa so ni suala la kumuelewesha ila tunaanza kwa kuelewa situation yake kwanza ndio maana nikasema ukomavu ni "acquired syndrome".....!!!!!!
Sawa akzi wanapiga sanaa tu na wengi tuna ndugu huko ila japo kwa mwezi they halla!!!!! Sasa kimyaaaaaa kabisa !!!?????Ndio mapenzi ya kimoyomoyo kama yako kwangu au nini!!????
Dogo anapitia kipindi tight ila maadamu kaamua kuliweka wazi basi ndio utatuzi umeanza na atakuwa poa muda unavyoenda, anasema kasoma na anajishughulisha so i hope and wish apate channel yake na Mungu amsimamie juu ya kupata atakacho!!!!!
Mi namuelewa sababu nilipitia kipindi flani wazazi wakiwa nje na mmoja akiwa mgonjwa but ndugu were just kimya flani tu hata ile kujuwa hali inakuwa ngumu flani na mie nikiwa ndo mkubwa basi unaona dunia kama uko mwenyewe vile!!!!!!!!Ila that gave me kuelewa na kujipozisheni upya ndio maana sasa ni kubwa la maadui nambari wani I learned it in a hard way!!!!!
So ataweza tu
usichangae inawezekana kaka hana hata hela ya kuwasiliana na jamaa na inaweza ikatokea akamtafuta dogo ili amsaidie kurudi nyumbani,aisee majuu sometimes ukiingia kichwa kichwa inakula kwako