Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga


Hivi Kama hii Ishu ingekutokea wewe ungefanyeje maana hata maswali yako naona yananichanganya zaidi ukizingatia mama alifariki tu na kila kitu akiondoka nacho,nimestruggle Nimesoma na kumaliza chuo na bado napambana ingawa ajira ni Ishu,so usidhani nimelala tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu embojo cheki na Rais wa wabeba box Nyani Ngabu a.k.a mzee wa Miafrika ndivyo ilivyo,,, anaweza kuwa na jina lake kwa rejista.

Ha haaaah wazee wa Cremation wana mambo Sana.
 

Duh inasikitisha! Ila bi maza nae asiweke nadhir za kuachia radhi hivyo....akimkuta jalalani yeye(bi maza) ndie atakaeumia the most!
 

Unajua inawezekana jamaa hela haimuumi kihivyo ila tu sababu ni aliachiwa na bi mkubwa wake sasa kuna emotion part na thamani ya mpunga halisi hapo!!!!

Labda kama wangekuwa wamechanga tu mpunga angeelewa!!!!

We unajua ni mchokonozi sana so una maana jamaa roho inamuenda mbio sababu bro yuko mbele sio!!!??????
 

Daaanh pole sana kaka, umeniumiza sana roho yangu..........I have only two kids yaani ni kama namsikia mwanangu analalamika!!!!!!!! Sikia kitu nikuambie huyo yuko mbali kweli ila "you will never walk alone" angalia michango ya humu unga undugu na watu solid usikae mnyonge mkuu!!!!!!!

Mengine chezea upande ule wa watu wachache hapa mimacho kibaaoooooooo!!!!!!!
 

Mamii naelewa kama wewe ila huyu mtu ana umri gani, kapitia yepi so far, unaweza kuta bi mkubwa aliwaambia naawaacha wenyewe pendaneni sasa maneno kama haya yanataka ukomavu kuona kuwa life can go beyond wishes!!!!!

ukomavu hatuzaliwi nao ila tunajifunza sasa huyu anapitia njia ngumu may be katika umri mdogo pia!!!!
 

Kama namjua vile. Ile usimlaumu, Diaspora wana hali ngumu sana tena sana! I say wewe unaweza kuwa vizuri mara mia zaidi yao.
 
Hahaha...mh usimtie vijiti vya sikio mwenzio...leo wamegombana kesho watapatana...'ndugu wakigombana chukua jembe ukalime'

Kuna maumivu huondoka kwa maumivu zaid then unapona mazima!!!!!!!!
Hapa wanasoma wengi sana na inawezekana yupo, au watu wanamfahamu sasa kumuacha mdogo wake yatima kwa mara ya pili baada ya kuondokewa na mama ni nini mpaka aendelee kuwa mafichoni!!!!!??????

Imagine heading ina neno "amenitenga" na sio jambo lingine , this boy is in pain, ingia kwenye viatu vyake then uone.....jamaa huyu mkubwa hamtendei dogo freshi kabisaa!!! Kama hakieleweki amueleze tuu kwa anavyoandika hapa kama ha pretend ana akili ya kuelewa na kukubali!!!!
 

Aisee tuko pamoja yaani,thanks for sharing my pain
 
Abroad sijafika wala kukaa huko,ila nachojua hali yao ya kimaisha ni tete,na gharama ziko juu sana...tena kama hawa wanaozamia ukubwani mhh,labda awe na kazi rasmi ya maana,na sio mbangaizaji,mtoa mada komaa tu hapa bongo,it's easier,..nduguyo maisha yamemtaiti sio kwamba kakutenga
 
Maza manake nini? Kuwa na heshima dogo

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Maza manake nini? Kuwa na heshima dogo

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Kwa sisi tuliokulia A town Maza ndo mpango mzima hakuna jina zaidi ya Hilo utamwita mama all akafurahi,tena huwa tunakoleza mamaa au mazaa,wewe unafikiri Mimi Dogo sana eti!
 
dogo ulitaka akubebe kumbuka maandiko yanasema kila mtu ataubeba mzigo wake na kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake kama alikuzidi akachukua mirathi yote ndo alipokuzidi urefu wa kamba hivyo hata huu muda wa kulalamika unajikwamisha tu kutoka we komaa utoke hacha lawama za kitoto
 
ameenda nchi gani ya huko ughaibuni? manake kibongo bongo mtu akiwa nje ya tz yupo ughaibuni, usikute yupo Malawi tu hapo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…